Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Mtu huwa anavuna anachokipanda.Kigwa kaingia choo cha kike.Angeandika proposal nyingine .
Huwezi kujua kama amekopeshwa pikipiki kwingine?
Hivi GSM wanauza pikipiki??Just curious!!!
Yes Sir,nao GSM wanauza.

Conflict of interests tayari hapo.
 
Reactions: Tui
Mzee wa kususa [emoji3][emoji250][emoji3][emoji250]
 
Sasa Kigwa ajipange naona Zitto kaingia mzigoni [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Umenisaidia sana. I smelled a rotten rat.
Nilijua kuna connection somewhere lakini kwa masharti ya kutumika.
Ila nimekukubali, uko vzr kwny ku-connect dots mkuu.
 
Reactions: Tui
Huyo kigwangala anajua kwa miaka yote hyo alikuwa anatoa nani mishahara ya wachezaji, wafanya kazi na hela za usajili,kambi,malazi n.k?.
Unataka kusema tangu moo aingie simba hizo bilioni 20 hazijafika kwenye uwekezaji wake?.
Tatizo nini?.
Kuwekwa hizo bilioni 20 kwenye account ya simba au kuna lingine?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kigwa tuachie Simba yetu tafadhali, spana zako hamishia Chadema [emoji41]
 
Reactions: mmh
Jamaa wanampongeza kisiri siri maana mwamedi ni mbabe sana kwa kuwa ana salio
 
MoU iheshimiwe Simba isiendeshwe kienyeji.
 
Mkuu ungeanza na Free Arsenal. Ingependeza.
Arsenal iko uingereza naumia vipi? Simba ipo hapa na sisi ni wanachama kindakindaki tunaumia sana tukiona mambo kama haya yakifanyika kwenye klabu kubwa kama hii.
 
Wa nafikiri kuendesha timu ni kazi rahisi .
Yanga hao hapo wanahangaika na GSM.
Pale gsm hajulikani ni msaidizi,muwekezaji,mfadhili au anajitolea.
Wao kazi yao kusema "TIMU YA WANANCHI ".
MNA NINI WAKATI WACHEZAJI MNASAJILIWA NA GSM NA MISHAHARA WANALIPWA NA GSM.
Huyu kigwa aliyekosa pesa ya kununua pikipiki 25 tu,mishahara ya wachezaji atajulia wapi?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 

"TIMU YA WANANCHI ".
MNA NINI WAKATI WACHEZAJI MNASAJILIWA NA GSM NA MISHAHARA WANALIPWA NA GSM."

Hahah wananchi wako pale kushangilia kiboya tu.
 
Reactions: Tui
Arsenal iko uingereza naumia vipi? Simba ipo hapa na sisi ni wanachama kindakindaki tunaumia sana tukiona mambo kama haya yakifanyika kwenye klabu kubwa kama hii.
Wewe unaumia na avatar ya Arsenal?Give me a break?Unaumia timu imechukua ubingwa mara 3 mfululizo na FA na ngao ya jamii mara 4 mfululizo.
Kipo kinachokuumiza.Utopololism ni ugonjwa.Muone daktari. Maumivu yakizidi nunua kamba kwa mangi uyamalize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…