Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Sir,nao GSM wanauza.Mtu huwa anavuna anachokipanda.Kigwa kaingia choo cha kike.Angeandika proposal nyingine .
Huwezi kujua kama amekopeshwa pikipiki kwingine?
Hivi GSM wanauza pikipiki??Just curious!!!
Soma hiyoHuyo kigwangala ana bifu sababu kanyimwa mkopo wa pikipiki.
Zile baiskeli alizotoa zilitakiwa ziwe boxer za moo[emoji16][emoji16][emoji16].
Ila moo akachomoa ATUACHE
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Umenisaidia sana. I smelled a rotten rat.
Ila nimekukubali, uko vzr kwny ku-connect dots mkuu.Umenisaidia sana. I smelled a rotten rat.
Nilijua kuna connection somewhere lakini kwa masharti ya kutumika.
Mkuu ungeanza na Free Arsenal. Ingependeza.#free simba sc
MoU iheshimiwe Simba isiendeshwe kienyeji.Huyo kigwangala anajua kwa miaka yote hyo alikuwa anatoa nani mishahara ya wachezaji, wafanya kazi na hela za usajili,kambi,malazi n.k?.
Unataka kusema tangu moo aingie simba hizo bilioni 20 hazijafika kwenye uwekezaji wake?.
Tatizo nini?.
Kuwekwa hizo bilioni 20 kwenye account ya simba au kuna lingine?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
MoU iheshimiwe Simba isiendeshwe kienyeji.
Huyu kigwa aliyekosa pesa ya kununua pikipiki 25 tu,mishahara ya wachezaji atajulia wapi?Atujibu kwanza kwa hyo miaka 4 anayosema.
Kigwangala anajua pesa za mishahara ya wachezaji na viongozi kwa miaka yote hyo alikuwa anatoa nani?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Arsenal iko uingereza naumia vipi? Simba ipo hapa na sisi ni wanachama kindakindaki tunaumia sana tukiona mambo kama haya yakifanyika kwenye klabu kubwa kama hii.Mkuu ungeanza na Free Arsenal. Ingependeza.
Huyu kigwa aliyekosa pesa ya kununua pikipiki 25 tu,mishahara ya wachezaji atajulia wapi?
Wa nafikiri kuendesha timu ni kazi rahisi .
Yanga hao hapo wanahangaika na GSM.
Pale gsm hajulikani ni msaidizi,muwekezaji,mfadhili au anajitolea.
Wao kazi yao kusema "TIMU YA WANANCHI ".
MNA NINI WAKATI WACHEZAJI MNASAJILIWA NA GSM NA MISHAHARA WANALIPWA NA GSM.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wewe unaumia na avatar ya Arsenal?Give me a break?Unaumia timu imechukua ubingwa mara 3 mfululizo na FA na ngao ya jamii mara 4 mfululizo.Arsenal iko uingereza naumia vipi? Simba ipo hapa na sisi ni wanachama kindakindaki tunaumia sana tukiona mambo kama haya yakifanyika kwenye klabu kubwa kama hii.