Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Mhindi kuna watu kawafanya misukule huko, uwezo wa ku reason umepotea kabisa

Kuifananisha Yanga ambayo ipo kwenye transition na mikia ambao wanajinasibu wapo next level ni umbumbumbu kama aliowahi kuutaja Rage miaka kadhaa iliyopita
Unawajua wahanga walioipinga GSM kwenye kamati ya utendaji ya Utopolo? Je kamati hiyo bado ipo?.Ina kazi gani?GSM wamehodhi kazi zote.
Mtaalamu Shija alijiuzulu kwa sababu ipi?
 
[emoji23][emoji23]
IMG-20200906-WA0001.jpeg
 
Hamisi kawafungua macho.ila mashabiki maandazi wengi hawatamuelewa.
 
Kuna watu wapuuzi sana... Kigwangala jamaa nae kumbe kichwani kweupe tuu yani alivyomind kuhusu yule CEO utadhani ana hisaa Simba lakini MO akajua tatizo sio UCEO tatizo ni PIKIPIKI...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na pengine ukimfatilia huyo Kigwa utakuta hata zile 51% hajatoa hata 500 alafu leo anapiga kelele, watu kama hawa wabinafsi sana anafikiria mambo yake hadi kuomba mkopo wa pikipiki, angechukua mkopo bank awekenze Simba tujue anauchungu na club
 
Na pengine ukimfatilia huyo Kigwa utakuta hata zile 51% hajatoa hata 500 alafu leo anapiga kelele, watu kama hawa wabinafsi sana anafikiria mambo yake hadi kuomba mkopo wa pikipiki, angechukua mkopo bank awekenze Simba tujue anauchungu na club
Mtu hana Mil 50 za kununue pikipiki 25 anataka mkopo alafu Leo ananyanyuaa Domo lake kumponda MO eti hajatoa Bil 20...!! Hao simba wanakula hela za MO kila sikuu...yeye mil 50 tu hanaa kazi kulia liaa..
 
Nimesoma CV ya huyo CEO mpya wa Simba sc, kwa kweli hapo tumepigwa 3 bila wana Simba wenzangu. Huyo mtu sio mwanamichezo wala hajawahi fanya kazi yoyote ya kimichezo. Mwamed ametuzidi maarifa sisi wenye hisa hewa 51%.

PIA WAWEZA SOMA HAPA CHINI KUONGEZEA TAARIFA ZA HUYO MREMBO


View attachment 1559522
Barbara Gonzalez
CEO,

MO DEWJI FOUNDATION
Barbara Gonzalez is the head of the Mo Dewji Foundation, a registered charity founded by Africa’s youngest billionaire, Mohammed Dewji. The foundation is dedicated to enriching the lives and alleviating Tanzanian citizens from poverty and hardship through health, education and community development. She is responsible for developing strategies to address some of the world’s most challenging inequities and leading all the foundation’s efforts to promote equity and sustainable livelihoods for all Tanzanians.
Gonzalez serves on the advisory board for Young African Leaders Initiative (YALI) Regional Leadership Center East Africa. YALI was launched by former President of the United States Barack Obama as a signature effort to invest in the next generation of African leaders.
Prior to the foundation, Gonzalez was consultant at Deloitte Consulting Limited Tanzania. She was involved in projects for public sector clients including USAID, UNICEF, World Bank and Plan International.
Gonzalez holds a master’s degree in development management from the London School of Economics and Political Science, and a bachelor’s degree with honors in economics and political science from Manhattanville College in Purchase, New York.
Ushamba mzigo. Kisa senzo alikua mtu wa mpira basi ndio unaona kaweka standard. Haendi kuwa mtu wa technical bench. Ni ceo wa corporate!
 
Hahah Kigwa hela zake za mafao ya ubunge amegoma kuzinunulia Pikipiki za wajumbe lkn za Hela za MO ndio zinafaa kwa ajili ya Pikipiki za wajumbe.

Kweli huku ndiko to 'think out of the box' anayosemaga aisee.
Hawa watu wabinafsi sana, wanafikiria matumbo yao sio maslai ya wengi na wanatafuta kick kwa wasiojitambua. Hao ndio wanasiasa wa bongo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.
Good riddance!
Tunapunguza mashabiki wasiojielewa. Tukipata wengine kama wewe wa kushuka melini nafikiri tutafika salama zaidi tuendako.
 
Mhindi kuna watu kawafanya misukule huko, uwezo wa ku reason umepotea kabisa

Kuifananisha Yanga ambayo ipo kwenye transition na mikia ambao wanajinasibu wapo next level ni umbumbumbu kama aliowahi kuutaja Rage miaka kadhaa iliyopita
Transition ipi hiyo,?Hakuna anayefananisha. Unapokuwa unaiga halafu unafanya makosa ya kipumbavu unakuwa mijinga zaidi ya aliyejaribu mwenyewe na kufanya makosa kama yapo.
Kwa sababu wewe una mfano wa kuiga.
Halafu unakiri kwamba Simba ni another level.
Kukosoa kwako ni sawa na maskini asiyekuwa hata na baiskeli anamkosoa tajiri anayefanya investment.
Halafu ukimuuliza huyo fukara anakuambia ohh mimi maskini wewe tajiri.
Kwani wewe unapoikosoa Simba unailinganisha na timu ipi?
 
Na pengine ukimfatilia huyo Kigwa utakuta hata zile 51% hajatoa hata 500 alafu leo anapiga kelele, watu kama hawa wabinafsi sana anafikiria mambo yake hadi kuomba mkopo wa pikipiki, angechukua mkopo bank awekenze Simba tujue anauchungu na club
Kigwa alipigwa chini na gonzalez. Tunajua hilo. Sasa hivi ana wivu na Mo akiamini mo kamsoheza zaidi gonzalez karibu...
24DD44CD-72D7-4739-8E20-CE911D39A41C.jpeg
 
Kabla hajawajibu mpeni jibu kwanza je bil 20 zilishalipwa?
Kote huku ni baada ya kunyimwa mkopo, tuambie kwenye 51% umeweka kiasi gani acha siasa za mabomba kutoa maziwa
 
Kabla hajawajibu mpeni jibu kwanza je bil 20 zilishalipwa?
Jezi za msimu mpya zimeshawasili?
Uwanja wa Kigamboni vipi?Nani anaiongoza Yanga GSM au kamati bubu ya utendaji?
Msola ameacha kazi kwa Mo?
Mishahara atalipa nani?GSM wanadai wao wamesajili tu.
 
Back
Top Bottom