political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Kishingo hapo sawa
[/QUOTE
kishingo .....alishapita simba ..atakubali kurudi? Terms zake atawabana
AahaaaaaaaKlabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Anaenda kufundisha soka Saudi Arabia. Mwamedi aandike maumivuKama heading inavyojieleza..kwa taarifa nilizopenyezewa kuwa tayari mahamuzi yameshafanyika kumtimua kocha ROBERTINHO..stay turned tayari kuna majina ya makocha watano akiwemo kishingo.
View attachment 2806677
Hii ni IGA.View attachment 2806696
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).