Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Kolo lenye matarajio chanya
 
Jiandaeni kufukuza makocha kila mkikutana na Yanga
Sio yanga tu. Kocha akituzingua .. tunampiga chini hata iwe majimaji ya songea.
Kawaida kocha kutazamiwa mechi kadhaa.
Kufukuzwa baada ya mechi ya yanga ni sawa. Hata ziwe mechi 100 zijazo hakuna shida. Ila kama ameprove failure of which huyu rob ameprove. No way out nikumpiga chini.
 
Hapo kwl Kuna hujuma,,lile Goli ya Aziz K sijalielewa kabisa.

Mtafukuza makocha kila mara Dawa Ni kusoma ALALBADIR BAYANA kwa wasaliti wa timu.
 
Ila MOTO wa Mechi uliotokewa na Azam TV Kwa ajili ya mechi hii ulikaa Kiwaki Sana!! "Yaani Mpaka Mseme!!"
 
Una hoja DUNDUKA ngoja usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…