Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Nyinyi subirini muda wenu ufike muanze kuuliza zilpowekwa bila nyinyi kuonyesha mlipoweka zenu, hiyo ndo kazi yenu kubwa.

Hela za Simba Sc zitakuwa ni za kufoji ila zenu zitakuwa ni halali, ni kawaida kabisa.
Sasa mkuu kwa akili za kawaida timu ya wanachama inaingiaje mkataba bila kutaja price figure za huo mkataba

Hizi timu zetu zisitutoe akili mkuu
 
Sasa mkuu kwa akili za kawaida timu ya wanachama inaingiaje mkataba bila kutaja price figure za huo mkataba

Hizi timu zetu zisitutoe akili mkuu
Nafikiri point ta msingi ni kwamba taarifa zitawekwa wazi ifikapo tarehe 1 August, ili kila mwanachama na shabiki ajue (hakuna sehemu waliposema kuwa itakuwa siri)

Au wewe ulikuwa unataka wakati wakuingia mkataba na hiyo kampuni kila mmoja (wanachama wote wa Simba sc hapa Tz) wawepo kwenye majadiliano?? Haya nyinyi yanga ni lini mlifanya hivyo, au niletee team yoyote duniani ambayo inasaini mikataba hivyo unavyotaka wewe.
 
Maoni ya mdau mmoja kwenye PM yangu juu ya mkataba wa Simba na M -bet

Hawa Jamaa wanacheza na akili za mashabiki.

Mkataba wameingia tarehe 1 Julai, 2022.. Taarifa wanatoa After two weeks.. then wanakwambia taarifa zaidi watatoa tarehe 1 August, 2022.. mwezi mmoja toka wasaini Mkataba Huo

Asee hapa wanavizia waone SPORTPESA atatoa ngapi kwa Yanga tu ndio na wao wajue kama watatangaza waliyopewa ama watafoji foji ili waonekane kwamba wamewazidi Yanga Kudhaminiwa
 
Maoni ya mdau gani huko PM, vipi kama huyo mdau nae ana akili kama zako? Yani seriously unataka watu wazima na akili zao humu waamini unachokisema kwakua kuna mdau wako kakutumia maoni PM?

AU na wewe nae unataka kujifanya kuwa una connection kutoka bodi ya wakurugenzi na viongozi wa Simba Sc, kama mwenzako demigod ?

Hebu acheni utoto😂
 
Niamini mm Mzee wangu.....watu tuna watu wetu kwenye hizi timu za kariakoo
 
Aisee kumbe eee
 
Home una jirani mganga?
Umewaza mbali sana, na ndivyo ilivyo
Unapata nini kumuongopea mwenzako?
 
Kwa mzigo wa bei gani? tujuzeni basi
 
Bil 3 kwa mwaka si kitoto
Sportpesa walikuwa wanatoa bili 1.3 kwa mwaka
 
Dogo sikia sportpesa walikuwa wanatoa bil 1.3 kwa mwaka
M-bet watatoa bili 3 kwa mwaka kwanini asipewe m-bet ?
 


maon yangu sidhan simba walikuwa na mpango wa kutangaza mapema.. kumbuka mambo ya mikataba usidhan ka vile unatoq mahari.. kuna taratibu nyinhi zinazofanya utangazwaji uchelewe .. mi naona simba wamelazimika kumtangaza mapema sababu team inasafiri na kits za safari zitakuwa na logo ya mdhamin mpya so kuepuka sintofaham watu wakiona kits za simba na logo za mbet ndo maana wakaamua kutangaza mapema ila press wataifanya baada ya mambo mengine kukamilika ndo maana wameweka August 1.

hawawez kuchelewa kutangaza ili kujua yanga atapata ngap kwa sportpesa maana haiwahus tena kumbuka nao walikuwa wana negotiate na sportpesa so kuna uwezekano wanajua kiasi kilichowekwa mezan na sportpesa kwa pande zote mbili.. so hawana haja ya kufoji figure..

mwisho ukumbuke kwenye mapato ya simba kuna kodi ya serikali haweza kufanya ujinga wa kutaja kiasi kikubwa ili kuwaridhisba mashabili kumbe wamepokea kdg itawapa shida kwenye ukaguzi

jaman mambo mengine hayaendeshwi kisiasa au kishabiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…