Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Phiri kiwango kimeshuka na hii inaweza kutokana na kile kipindi alichokaa muda mrefu akiuguza jeraha.

Angalia mwenyewe gemu alizocheza afu jiulize was he threat to the opponent?

No jamaa alikuwa amepoteza makali na hii inakuja kama ukifanya reference kwenye peak yake ya ubora alipokuwa anafunga karibia kila mechi.

Na ndio sababu unaona hata Simba imekuwa mguu nje kumuweka Kramo moja kwa moja kutoka kwenye kipimdi kirefu cha kuuguza jeraha, kwasababu wanaogopa wasijekurudia makosa
Hatujamwona Kramo vizuri ila Kramo bado ni kama 50/50 ,anaweza akawa mzuri au asiwe mzuri tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata faili la Joseph mchezaji aliyetambulishwa jangwani

Aisee
Screenshot_20240116-002640.png
 
Una SIMBA APP
mambo yapo kwenye SIMBA APP
pakua
Package yangu imeisha mwezi huu na sioni kama kutakuwa na exclusive nyingine ukuachana na huu msimu wa dirisha dogo ambao umetamatika leo

Kungekuwa na continuation exclusives ningelipia
 
Back
Top Bottom