Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Hamna kitu hapoAmetokea timu ya Green Eagles kwenye ligi ya Zambia.
Kwenye mechi 16 kafunga magoli 14View attachment 2872953View attachment 2872954
View attachment 2872955
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapoAmetokea timu ya Green Eagles kwenye ligi ya Zambia.
Kwenye mechi 16 kafunga magoli 14View attachment 2872953View attachment 2872954
View attachment 2872955
Hatujamwona Kramo vizuri ila Kramo bado ni kama 50/50 ,anaweza akawa mzuri au asiwe mzuri tena.Phiri kiwango kimeshuka na hii inaweza kutokana na kile kipindi alichokaa muda mrefu akiuguza jeraha.
Angalia mwenyewe gemu alizocheza afu jiulize was he threat to the opponent?
No jamaa alikuwa amepoteza makali na hii inakuja kama ukifanya reference kwenye peak yake ya ubora alipokuwa anafunga karibia kila mechi.
Na ndio sababu unaona hata Simba imekuwa mguu nje kumuweka Kramo moja kwa moja kutoka kwenye kipimdi kirefu cha kuuguza jeraha, kwasababu wanaogopa wasijekurudia makosa
Yupo kwenye uangaliziHatujamwona Kramo vizuri ila Kramo bado ni kama 50/50 ,anaweza akawa mzuri au asiwe mzuri tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yetu machoKipo, angalia vizuri
Alikuwa Far Rabat akaenda Uturuki,Basi sijasikia hiyo taarifa
Huyo Joseph ametokea parokia ya wapi?
Micky Jr amepost na kusema confirmed ameongea na viongozi wa SimbaOfficial au tetesi?
Nimesikia pia Phiri kapelekwa Power Dynamo ya Zambia kwa mkopoMicky Jr amepost na kusema confirmed ameongea na viongozi wa Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakubali TUHamna kitu hapo
KishumunduBasi sijasikia hiyo taarifa
Huyo Joseph ametokea parokia ya wapi?
Package yangu imeisha mwezi huu na sioni kama kutakuwa na exclusive nyingine ukuachana na huu msimu wa dirisha dogo ambao umetamatika leoUna SIMBA APP
mambo yapo kwenye SIMBA APP
pakua
Kabaki mkongwe SaidooNimesikia pia Phiri kapelekwa Power Dynamo ya Zambia kwa mkopo