Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nna matumaini nae juu ya uwezo binafsi,maana team yake Ipo nafs ya nane au Tisa ila ndio anaongoza kwa magoliKwa huyu mshambuliaji let's hope for something big
Gentamycine anasema Kama bocco ataendelea kuwepo hata tumlete Haaland hakuna kitu atafanyaNa Bocco usimsahau
Joseph Guede ndio anacho kitu:-Hamna kitu hapo
Ntajie mchezaji wa ivory coast anaechezea bongo afu yupo Afcon,Aziz k mwenyewe ni WA ivory ila alikimbilia Burkina Faso kwaajili ya nafasYupo kambini National team ?
Kazidi ubinafsi utafikiri yeye ndio no9Hivi saidoo anabakia kutafuta nini Simba?
Yule jamaa katukosesha magoli mengi sana
Na inawezekana mechi na Waydad tusingeshinda kama angekuepo
Acha na uyo jamaa ni hatari,alishawahi kua man of the match akiwa benchMechi 9 ana magoli 00 na assist 00
Hii hata Skudu akiiona atacheka
Unamfaham vizuri Kramo?Mkuu sijui why Saido na Kramo wamebakizwa halafu waachwe Baleke na Phiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichofanikiwa ni kadi ya njano 1Joseph Guede ndio anacho kitu:-
Michezo 09
Mabao 00
Assists 00
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umri wake ni miaka 26 (haters wameguna)
View attachment 2872957
Kuna namna linawafanyia wanaopambania nalo namba lileKwaiyo hatma ya boko vp[emoji848]
Una uhakika hiyo timu ipo duniani mkuu???
Ongeza 10 ndio miaka yake halliduUmri wake ni miaka 26 (haters wameguna)
View attachment 2872957
Naona bado hamjajifunza kitu kuhusu usajili. Usajili ni kamari, mchezaji anaweza kuwa top scorer huko alipo ila akaenda timu nyingine aka floppy au mchezaji akatoka timu nyingine akiwa wa kawaida ila akaenda timu nyingine aka shine. Mifano ipo mingi kwenye hili. Hivyo subirini wachezaji muwaone uwanjani.