Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Huyu nna matumaini nae juu ya uwezo binafsi,maana team yake Ipo nafs ya nane au Tisa ila ndio anaongoza kwa magoli
Aisee sikujua hili kuwa timu yake ipo nafasi hiyo
 
Kwaiyo hatma ya boko vp[emoji848]
Kuna namna linawafanyia wanaopambania nalo namba lile

Angalia mazingira Yao
Wote huwa ni wamoto wanapofika ila baada ya hapo the rest is history

Angalia Kwa kagere, mugalu, phiri, baleke .
 
Nimepata faili la Joseph mchezaji aliyetambulishwa jangwani

Aisee View attachment 2872974
Naona bado hamjajifunza kitu kuhusu usajili. Usajili ni kamari, mchezaji anaweza kuwa top scorer huko alipo ila akaenda timu nyingine aka floppy au mchezaji akatoka timu nyingine akiwa wa kawaida ila akaenda timu nyingine aka shine. Mifano ipo mingi kwenye hili. Hivyo subirini wachezaji muwaone uwanjani.
 
Back
Top Bottom