Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kila laheri mnyama....
 
Tv gani inarusha game ya TP Mazembe na Pyramids saivi?
 
Wana lunyasi wenzangu hivi ni wapi naweza kuicheki hiyi gemu live? Msaada tafadhi.
 
Kila lakheri Orlando Pirate piga hao Makolo
Kuna shabiki mmoja wa mfuga ng"ombe kasema Manyele amchukue na yeye akamfanyie mambo nimewaza huko utopoloni kuna nini nimekosa jibu..Tuliw ww unafata nini hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…