The Republican
Senior Member
- Dec 5, 2021
- 174
- 307
Pasko hapa ametupiga pakubwa. Makosa ya mtu mwingine madamu ni mtu mzima yeye ndie atahusika. Muulize vipi kuhusu ile scandal ya Bill Clinton pamoja na vurugu zote lakini hakuachia ngome.Ila JFK wa US alikuwa anag*nga sana malaya, kwa nini hakuachia ofisi?
...Unamkumbuka yule Mheshimiwa ambaye ni Marehemu alivyomuua Derek be a Daladala Kwa kumtishia na Bastola yake Kwa kugongagonga Dirishani na Bastola ikapiga na kumuua kinda, na Mheshimiwa akachomoa???Nimekumbuka aliyowahi kufanya Prof. Kapuya Juma, zingekuwa nchi za waliostaarabika Kapuya mpaka sasa angekuwa anatumikia kifungo chake, lakini sasaaaaaa.... Hata huyu dogo, kwa kuwa tu anatoka first class citizens, nawaambia pamoja na baba yake kusema lakini hata wanaotakiwa kuchukua hatua HAWATACHUKUA kwani wanajua utamaduni wao ulivyo!
RIp Magufuli. Sio wakati ule dogo angekula vitasa na baba angepumzishwa uwaziri. Yajayo yanafurahisha
Ajiuzulu Kwa lipi? Mbna tunakuwa wepesi kuhukumu. Mtoto na ego yake baba ajiuzulu??Hili ndio alipaswa kufanya, kujiuzuru na kuiomba jamii samahani. Hizi nyingine ni story tu analeta.
Kumbe mtoto wa kiongozi barabara, akitenda makosa ya usalama barabarani, hatakiwi kuchukuliwa hatua, kwa maelezo yako hasa huku mwisho.Mshana Jr siwatetei polisi, wengi wao wamezoea kuzodoa watuhumiwa. And you can see huyu askali ana mprovoke dogo kwa matusi. Na nina uhakika dogo alidhalilishwa. Iwapo kama wangetumia hekima nadhani wasingefika huku. Ila ni kukosa adabu hao askali. Naamini watashughulikiwa hao askali ili wawe na maadili ya kazi. It happened to me kibaha with my private tupo na wanzagu mi ndiye nilikuwa dereva, askali kasimamisha nikamuambia the nikatoka kumfuata akaniomba lesseni nikamuambia ngoja niifuate kwenye gari akanitukana tusi na kuniambia anaenda kuniweka ndani. Nikamuambia kosa langu nini kukuambia naenda kuchukua leseni kwenye gari mpaka unitishie kuniweka ndani? Ikabidi niondoke nimuache kwa hasira ikabidi nimtume mwenzagu baadaye alikuja kuomba msamaha huku analia nimsamehe baada ya kujua mi ni nani. Hivyo hawa askali hawana adabu kabisa. Naamini jeshi la polisi liwachukulie hatua baada ya kufanya uchunguzi, kuna stori haijakaa sawa maana huwezi kumprovoke mtu kiasi kile. Na kuna askali mwingine nadhani yeye alifukuzwa kazi kwa huu upuuzi yaani anaambiwa ni mtoto wa kiongozi yeye alitaka rushwa na akawa eti unajifanya mtoto wa kiongozi. So askali baadhi yao hawajui maadili ya kazi
Aisee unaweza ukawanyima watu wote maono lkn mmoja akaona mbali sanaaa.Drama ya kuwasahaulisha TOZO. Na Kama ujuavyo wabongo watajaa na kusahau maumivu ya tozo taratiibu!
Maneno ya kwamba hakuna mtu wa kumuweka ndani coz ni mtoto wa waziri nayo unayachukuliaj
Ni private skull. Govt angekutana na maticha nunda angepigika tuUmri wangu hauna umuhimu kwenye mada. Nilikuwa Advance akiwa O level. Mpira tulienda wote kutazama na alifanya mambo ya kawaida kabisa ya wanafunzi wengine.
Can you imagine first time nimefika dorm namtazama hivi namuona Simbachawene huyu hapa.
Eti amemwagiza,,,,??? yeye Kama nani.. na rule of law ipo,,,??Mtoto na baba akili zilezile
Mkuu kama nakuona mitaa ya kilambasi, kyara Dom 40 nadhan umenipata[emoji4][emoji4]Umri wangu hauna umuhimu kwenye mada. Nilikuwa Advance akiwa O level. Mpira tulienda wote kutazama na alifanya mambo ya kawaida kabisa ya wanafunzi wengine.
Can you imagine first time nimefika dorm namtazama hivi namuona Simbachawene huyu hapa.
Yan hii kitu inaniumiza kuliko chochote 😕😕Hiyo kawaida saana inatokea hata usiwaze
Hata kumpiga ni ishara ya mzazi kumuwajibisha mtotoWake mwenyewe aliwahi kuzingua mbona hakujiudhuru ? Huku yeye akisema Ni mnyonge,mwanae alirecord yupo na pesa nyingi,aliishia kumpiga tu
Kwa level/class of citizenship ya huyo dogo, sidhani kama ana uwezo wa kupambana na familia. Chawene katulisha matango poriMmmh mijitu imekaaa chobis kusubiri tukio kama hili
Ikumbukwe, Baba amesema mtoto sio mtoto tena na ana familia yake. Hivyo basi makuzi, cheo na vingine havina mantiki.
Kijqna ni mtanzania, na anawajibu kufuata sheria. Vilevile polisi wasikuze hili jambo kuonekqna wanafanya kazi bila upendeleo, tunawajueni. Nao wafuate sheria.
Haya mambo yakurekodiana yana sheria zake. Zipitiwe.
Mzee wa nyuzi zenye maslahi ya taifa skuizi unanifurahisha sana yaani kuna watu mnamchokoza Mungu kwa unafiki siku akiwapa malipo mtabaki mnaliliaKwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.