Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio😂 akifikia umri wa baba yake Ndio atakuwa Simba chawene Sasa hivi Ni kanyau chawene[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti nyau kwamba mtoto wa Simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo sio commoners Kama sisi, ukitaka uprove nachosema,fanya msala afu Polisi waje na defender ujaribu kukaa kwenye kiti uone😂, ila huyo kapewa kiti kituoniMaaskari nao wanazingua , amekosa afande mmoja hapo amuwashe kwanza kibao cha machoni kumtoa wenge , halafu hicho kipande wasikirushe popote , 😀😀😀 hayo maneno anayotamka tamka ya matusi !! Dadeki ndo unikute kituoni !!
Anataka kutuaminisha Kiuwongo na Kweli kuwa Kamchoka na Kamzila Mwanae wakati inasemekana kuwa ndiye Mwanae Kipenzi kabisa kati ya Wote alionao.Waziri amekimbilia kuongea kisiasa hali akijua hakuna polisi hata mmoja atakayejaribu kumshughulikia huyo kijana.
Mahakama ndio hutoa hukumu kwa mujibu wa sheria na sio kwa matakwa ya mtu binafsi.Baba yake angeagiza kuwa Anyongwe kabisa ningemuona wa maana, ila kwa Kuagiza kuwa ashughulikiwe naona nae Akili zake pia zinatakiwa Kushughulikiwa vile vile kwani hazijamkaa sawa.
Ameshakuwa ni Dr Sebi huyo mtoto? looh majangaa hayo...Dr Sebi
Hatujafika huko sisi, ila huyu dogo kazingua Sana......Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Trust me,hakuna Polisi wa kufanya hivo,na hata wewe ungekuwa Polisi usingefanya hivo,nyie hamjui tu majeshi yanavoendeshwahao trafik walimchekea sana ndo mana kawatukana...
angepandishwa kwenye zile cruser za polisi zenye namba za kiraia angeona moto wake..
mpuuzi mmoja......
Nilisoma course ambayo sikuja kuifanyia kazi. 😢😢Ilikuaje tena
Mshana Jr siwatetei polisi, wengi wao wamezoea kuzodoa watuhumiwa. And you can see huyu askali ana mprovoke dogo kwa matusi. Na nina uhakika dogo alidhalilishwa. Iwapo kama wangetumia hekima nadhani wasingefika huku. Ila ni kukosa adabu hao askali. Naamini watashughulikiwa hao askali ili wawe na maadili ya kazi. It happened to me kibaha with my private tupo na wanzagu mi ndiye nilikuwa dereva, askali kasimamisha nikamuambia the nikatoka kumfuata akaniomba lesseni nikamuambia ngoja niifuate kwenye gari akanitukana tusi na kuniambia anaenda kuniweka ndani. Nikamuambia kosa langu nini kukuambia naenda kuchukua leseni kwenye gari mpaka unitishie kuniweka ndani? Ikabidi niondoke nimuache kwa hasira ikabidi nimtume mwenzagu baadaye alikuja kuomba msamaha huku analia nimsamehe baada ya kujua mi ni nani. Hivyo hawa askali hawana adabu kabisa. Naamini jeshi la polisi liwachukulie hatua baada ya kufanya uchunguzi, kuna stori haijakaa sawa maana huwezi kumprovoke mtu kiasi kile. Na kuna askali mwingine nadhani yeye alifukuzwa kazi kwa huu upuuzi yaani anaambiwa ni mtoto wa kiongozi yeye alitaka rushwa na akawa eti unajifanya mtoto wa kiongozi. So askali baadhi yao hawajui maadili ya kazi
RIp Magufuli. Sio wakati ule dogo angekula vitasa na baba angepumzishwa uwaziri. Yajayo yanafurahisha