Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Biblia inasema mzazi hatohukumiwa kwa kosa la mtoto wake na mtoto hatohukumiwa kwa kosa la mzazi wake

Ujinga wa mtoto wa waziri asihukumiwe baba yake

Anaeona mtoto wake yupo sawa hana mapungufu awe wa kwanza kumuhukumu waziri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti nyau kwamba mtoto wa Simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio😂 akifikia umri wa baba yake Ndio atakuwa Simba chawene Sasa hivi Ni kanyau chawene
 
Maaskari nao wanazingua , amekosa afande mmoja hapo amuwashe kwanza kibao cha machoni kumtoa wenge , halafu hicho kipande wasikirushe popote , 😀😀😀 hayo maneno anayotamka tamka ya matusi !! Dadeki ndo unikute kituoni !!
Huyo sio commoners Kama sisi, ukitaka uprove nachosema,fanya msala afu Polisi waje na defender ujaribu kukaa kwenye kiti uone😂, ila huyo kapewa kiti kituoni

Hao Polisi wenyewe wakiingia kituoni hawapewi kiti huwa wanasimama
 
Baba yake angeagiza kuwa Anyongwe kabisa ningemuona wa maana, ila kwa Kuagiza kuwa ashughulikiwe naona nae Akili zake pia zinatakiwa Kushughulikiwa vile vile kwani hazijamkaa sawa.
 
hao trafik walimchekea sana ndo mana kawatukana...

angepandishwa kwenye zile cruser za polisi zenye namba za kiraia angeona moto wake..

mpuuzi mmoja......
 
Ilitakiwa hao wanaume walio pembeni hapo wangemtembezea kichapo heavy mbele ya polisi,yaani mtuhumiwa anaenda kituoni kama yupo harusini vile
 
Simbachawene Ameonyesha Uungwana Wa Hali Ya juu........! Na Kuheshimu taaluma...Professionalism.

Huyo dogo Kwa Kuwatusi Polisi Kawakosea Sana Sana
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Hatujafika huko sisi, ila huyu dogo kazingua Sana......

Ana kiburi Cha kijinga
 
hao trafik walimchekea sana ndo mana kawatukana...

angepandishwa kwenye zile cruser za polisi zenye namba za kiraia angeona moto wake..

mpuuzi mmoja......
Trust me,hakuna Polisi wa kufanya hivo,na hata wewe ungekuwa Polisi usingefanya hivo,nyie hamjui tu majeshi yanavoendeshwa

Hizo kubebwa juu juu Ni kina sisi tu, umpige mtoto wa Waziri ufukuzwe kazi ? Vyeo vya hao traffic vipo chini ya RPC so yeye Ndio Ana mamlaka ya kuwafukuza which means kutemeshwa kazi Ni fasta tu, Kwanza hapo lazima wafukuzwe kwa uzembe huu
 
Mshana Jr siwatetei polisi, wengi wao wamezoea kuzodoa watuhumiwa. And you can see huyu askali ana mprovoke dogo kwa matusi. Na nina uhakika dogo alidhalilishwa. Iwapo kama wangetumia hekima nadhani wasingefika huku. Ila ni kukosa adabu hao askali. Naamini watashughulikiwa hao askali ili wawe na maadili ya kazi. It happened to me kibaha with my private tupo na wanzagu mi ndiye nilikuwa dereva, askali kasimamisha nikamuambia the nikatoka kumfuata akaniomba lesseni nikamuambia ngoja niifuate kwenye gari akanitukana tusi na kuniambia anaenda kuniweka ndani. Nikamuambia kosa langu nini kukuambia naenda kuchukua leseni kwenye gari mpaka unitishie kuniweka ndani? Ikabidi niondoke nimuache kwa hasira ikabidi nimtume mwenzagu baadaye alikuja kuomba msamaha huku analia nimsamehe baada ya kujua mi ni nani. Hivyo hawa askali hawana adabu kabisa. Naamini jeshi la polisi liwachukulie hatua baada ya kufanya uchunguzi, kuna stori haijakaa sawa maana huwezi kumprovoke mtu kiasi kile. Na kuna askali mwingine nadhani yeye alifukuzwa kazi kwa huu upuuzi yaani anaambiwa ni mtoto wa kiongozi yeye alitaka rushwa na akawa eti unajifanya mtoto wa kiongozi. So askali baadhi yao hawajui maadili ya kazi
 
Back
Top Bottom