Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kosa afanye mtoto wangu mwenye akili zake mwenyewe alafu mie ndio niwajibike...hapana awajinike huyo huyo mtoto as long as he or she is above 21Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Drama ya kuwasahaulisha TOZO. Na Kama ujuavyo wabongo watajaa na kusahau maumivu ya tozo taratiibu!Kabla ya kuendelea naomba ninukuu maneno ya hekima ya wahenga yasemayo.. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo..!
Jioni hii habari kubwa sio ushindi wa watani wa jadi kwenye mechi zao bali clip zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na kijana aliyejisanibu kama mtoto wa waziri Simbachawene , ambaye alisababisha ajali kisha akagoma kutii sheria kisa yeye ni mtoto wa waziri tajwa
Kijana kwenye clips za video anaongea shit sana...akionekana katoa lock hasa..baada ya hizo video kwenda viral mitandaoni.. Baba mtu kajitokeza na kumkana kijana wake huku akijivua lawama na kulitaka jeshi la polisi lichukue hatua stahiki kwa mujibu wa sheria.
Kama mzazi kafanya vema sana lakini nyuma ya pazia kuna tatizo kubwa la kimakuzi kuliko karipio la baba.. Huku mitaani hawa watoto wa viongozi wanawapatisha tabu mno vyombo vya usalama na wananchi wa kawaida.. Wao wanajiona ni The untouchables.. Walio juu ya sheria
Sasa ni vema mzazi na waziri Simbachawene asimamie kauli yake na isiwe tu ni hasira na kujikosha mbele ya jamii.. Amaanishe sheria ichukue mkondo wake.. Na jeshi la polisi nalo LISIMAME KWENYE SHERIA BILA KUANGALIA SURA..
Video hizi hapa. Haitakuwa jambo la busara mzazi kwa influence yake arudi kwa mlango wa nyuma na kufanya patano lenye viashiria vya mlungula.. Aache sheria ichukue mkondo wake.. Asimamie kauli yake.. Na jeshi la polisi nalo lifanye kweli..View attachment 2329818
Hili ndio alipaswa kufanya, kujiuzuru na kuiomba jamii samahani. Hizi nyingine ni story tu analeta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti nyau kwamba mtoto wa Simba[emoji23][emoji23][emoji23]Nyau chawene Hana kosa,alikuwa kalewa,ukeshe Club alafu uongee ya maana ?
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….Drama ya kuwasahaulisha TOZO. Na Kama ujuavyo wabongo watajaa na kusahau maumivu ya tozo taratiibu!
Mtoto na baba akili zilezileTAARIFA
“Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu wa kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la Police na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA …
Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lakini pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote. POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA
Ni Mimi.
George B. Simbachawene(MB)
View attachment 2329833
View attachment 2329837
View attachment 2329839
nimeumia sana na RSO alikua baba mzazi wa paskali mayalaKwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.