Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Prince Kunta, mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.Naona unampinga wakili msomi🤣🤣
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Prince Kunta, mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.Naona unampinga wakili msomi🤣🤣
Umri wangu hauna umuhimu kwenye mada. Nilikuwa Advance akiwa O level. Mpira tulienda wote kutazama na alifanya mambo ya kawaida kabisa ya wanafunzi wengine.And how old are you now? Be frank
Hata wewe usiyejielewa utajuta.Utajuta wewe mkuu
Kwani kosa la traffic inahatua gani kali ya kuchukuliwa?Siyo Tanzania. Tena hatua atakazochukuliwa zitakuwa ni laini laini tu ili kufunika kombe mwanaharamu apite.
Kwa maoni hata uliyotoa sahau kabisa kuuoata ubunge kwenye chama chenu.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Ni ngumu mno nakuhakikishia. Yaani mtoto wa bosi hahahah. Yaani hapo Mama mtu akisema tu sitaki mwanangu ateseke hao polisi watakoma. Unakumbuka yule traffic wa Mke wa Dkt Mahiga, unajua kilichomtokea??? Alijuta!Yah!kikubwa wamshugulikie ipasavyo
Huyo dogo
Ova
Si anko magu alimsifia,sasa alijuta Nini?Ni ngumu mno nakuhakikishia. Yaani mtoto wa bosi hahahah. Yaani hapo Mama mtu akisema tu sitaki mwanangu ateseke hao polisi watakoma. Unakumbuka yule traffic wa Mke wa Dkt Mahiga, unajua kilichomtokea??? Alijuta!
Behind the door wenzake walimshughulikia. Unajua iko hivi, kila mtu anataka kujipendekeza, huyo mtoto wa Simbachawene kitakachoenda kutokea ni afisa mmoja tu tena anaweza kuwa IGP akaamrisha dogo aachwe na akampigia waziri tunaomba utusamehe na hapo hao traffic kibarua kipo hatarini. Yaani hao polisi hawakutumia hekima. Ni muhimu walipaswa baada ya kujua wawasiliane hata na baba yake kwa sababu ni waziri then kimya kimya wanamaliza zali. Hiyo ya mapicha video, wamuulize mwenzao kilichomtokea.Si anko magu alimsifia,sasa alijuta Nini?
Duh!kumbe! Basi najua anko magu alimsifia so nilitegemea hata cheo angepandishwa.Behind the door wenzake walimshughulikia. Unajua iko hivi, kila mtu anataka kujipendekeza, huyo mtoto wa Simbachawene kitakachoenda kutokea ni afisa mmoja tu tena anaweza kuwa IGP akaamrisha dogo aachwe na akampigia waziri tunaomba utusamehe na hapo hao traffic kibarua kipo hatarini. Yaani hao polisi hawakutumia hekima. Ni muhimu walipaswa baada ya kujua wawasiliane hata na baba yake kwa sababu ni waziri then kimya kimya wanamaliza zali. Hiyo ya mapicha video, wamuulize mwenzao kilichomtokea.
Afande: "Unamuita mwanaume mwenzio mseng.e?"
Simbachawene Jr: "Ndio, au na wewe unataka"
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimesoma na dogo mmoja wa Simbachawene enzi za Magufuli. Nilimtangulia vidato kadhaa ila alikuwa akifanya makosa haadhibiwi na shule kwa woga. Tulikuwa tukifanya makosa tunajichanganya naye, ukitaka kutoroka ukawa nae unaweza pita hata kwa mkuu wa shule na usisumbuliwe.
Alikuwa somehow cool, tatizo makundi ya wahuni
Hata mtoto wa jiwe aliji record na mihela, hizi Mambo hutokea tuJPm kwa mama mahiga aliwaheshimisha maaskari
Au wakili Kada wa ccm, mtangaza nia jimbo la kawe na ubunge wa EA🤣🤣Mkuu Prince Kunta, mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
P
SureHapo waziri kaongea tu. Backdoor watamalizana.