Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Sasa baba yake kajitokeza kuomba radhi ya nini kwanini asingekaa kimya
Kaamua tu kuweka sawa kuhusu hilo walilokuwa wanasema hao wananchi kuwa mtoto hawezi kufanywa lolote coz baba yake ni waziri

Kwahyo akaamua aweke sawa katika hlo kuwa makosa ya mwanae hayahusiani na uwaziri wake.
 
Muandiko mbovu wa kishamba
 
Amefanya nini? Kwanza eleza stori, halafu comment. Hii haisomwi na walioko Tanzania pekee, wala wenye wakati wa kfuatilia kila kitu!
 
Kosa la mtoto mzazi anahusikaje! Mtoto awajibike yeye baba atamsaidia mbele ya safari kumbuka baba hajamtuma mtoto wala hujawahi amekuwa na tabia za ajabu ajabu ilo namtetea Simbachawene ata asingeomba radhi wangemalizana mahakamani au polisi.
Halafu ni mtu mzima yule, na anafamilia yake...mzazi anawajibikaje hapo?
Waziri ametumia busara kuomba radhi coz yeye ni kiongozi.
 
😂😂😂 kuna nyumba moja nimepanga huku kanda ya ziwa......binti anaondoka usiku kwenda kwenye mambo yake........baba yake mzazi ambae ndie msimamizi wa nyumba ananiambia " nisamehe bwana mwizukulu mgikuru tumechelewa kufunga geti kwa sababu mtoto wangu amekwenda kwenye pati"😁😁😁
 
Nimeelewa.! Ila unaonekana ulikuwa mwoga sana kwa huyo dogo, ukizingatia kuwa wewe ni mtoto wa mlala hoi kama ulivyojipambanua.
Hata nikupe mwaka mzima huwezi kunionyesha wapi nimejipambanua kwamba ni mtoto wa mlalahoi. Si lazima ukiwa njaa kali kwenu na wengine tuwe hivyo. Na ulalahoi ni subjective, yule dogo ananiheshimu
 
Mungu azidi kukujaalia Hekima na Busara mh Waziri
 
Alichokifanya huyu mtoto wa Simbachawene kinafanywa na Rais, PM, IGP, CJ , Speaker wa Bunge na wote wa vyeo hivyo vya juu maana hakuna cha kuwafanya. Huyu mtot anaiga akijua ana kinga ya Waziri baba yake!
Uliowataja wanaidharau Katiba ya nchi!!
 
Na wewe unataka!😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Maneno ya kwamba hakuna mtu wa kumuweka ndani coz ni mtoto wa waziri nayo unayachukuliaje?
Yachukulie kama unavyoyasikia! Ingekuwa wa mlalahoi angejibishana nao? Hapo ingekuwa ni kipigo tu!
 
Unaombaje radhi kama siyo mhusika na umekiri ni mtu mzima ana maiisha yake mbali na wewe
Ndio unafiki na uongo wa wanasiasa! Ana madudu anayowajibika nayo moja kwa moja, hayakiri, Ila makosa ya mtu mwingine, anageresha kuomba radhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…