[emoji23] mkuu hiyo avatar yako nikiiona nashindwa kujizuia kucheka, sorry lakini. Plus quote zako basi nacheka sanaMtoto wa mlambaa asaliiii huyu ni wakupasulia yai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] mkuu hiyo avatar yako nikiiona nashindwa kujizuia kucheka, sorry lakini. Plus quote zako basi nacheka sanaMtoto wa mlambaa asaliiii huyu ni wakupasulia yai.
Kaamua tu kuweka sawa kuhusu hilo walilokuwa wanasema hao wananchi kuwa mtoto hawezi kufanywa lolote coz baba yake ni waziriSasa baba yake kajitokeza kuomba radhi ya nini kwanini asingekaa kimya
Kuomba radhi kuna element ya kuhusikaKwahyo akaamua aweke sawa katika hlo kuwa makosa ya mwanae hayahusiani na uwaziri wake.
Muandiko mbovu wa kishambaKijana tumia pesa ya mzazi kamaipo kula maisha..kunawengine wana pata faida kupitia wewe huko ulipo kula tungi tyar kashaingiza pesa huyo uliemgonga kipasso chake kilichochakaa siajabu akavutakipya..ndoinatakiwa msumbue mzee hela sianazo nyingi chota leta kwa wahuni ukikuta gari imechakaa chakaa gonga ila ulipe ..NB ukiwa na kiburi uwe nahela yakulipia hapo utaendanao sawa
Kuhusika kwake ni mzazi wa mtoto kwahyo kaumia kama mzazi ila hatuwez muhukumu kwa makosa ya mtoto wake.Kuomba radhi kuna element ya kuhusika
Halafu ni mtu mzima yule, na anafamilia yake...mzazi anawajibikaje hapo?Kosa la mtoto mzazi anahusikaje! Mtoto awajibike yeye baba atamsaidia mbele ya safari kumbuka baba hajamtuma mtoto wala hujawahi amekuwa na tabia za ajabu ajabu ilo namtetea Simbachawene ata asingeomba radhi wangemalizana mahakamani au polisi.
Maskini huwa wana tabia kama zako.Mimi siyo kapuku mwenzako.
Hata nikupe mwaka mzima huwezi kunionyesha wapi nimejipambanua kwamba ni mtoto wa mlalahoi. Si lazima ukiwa njaa kali kwenu na wengine tuwe hivyo. Na ulalahoi ni subjective, yule dogo ananiheshimuNimeelewa.! Ila unaonekana ulikuwa mwoga sana kwa huyo dogo, ukizingatia kuwa wewe ni mtoto wa mlala hoi kama ulivyojipambanua.
Mungu azidi kukujaalia Hekima na Busara mh WaziriNimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.
POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA
George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Mkuu, aliyepewa kapendelewa.Naona chawa wa mtoto wa waziri umekuja hapa kumtetea
Acha wivuMuandiko mbovu wa kishamba
Kwa mauzauza, mauzauza hoyee!!Tz ya mama Samia inang'ara ng'ara×3
Uliowataja wanaidharau Katiba ya nchi!!Alichokifanya huyu mtoto wa Simbachawene kinafanywa na Rais, PM, IGP, CJ , Speaker wa Bunge na wote wa vyeo hivyo vya juu maana hakuna cha kuwafanya. Huyu mtot anaiga akijua ana kinga ya Waziri baba yake!
Yachukulie kama unavyoyasikia! Ingekuwa wa mlalahoi angejibishana nao? Hapo ingekuwa ni kipigo tu!Maneno ya kwamba hakuna mtu wa kumuweka ndani coz ni mtoto wa waziri nayo unayachukuliaje?
Hao ndiyo wanasheria wetu. Aibu tupu.Hapa kwenye tortuous liability kwa baba wa huyu kijana umetupanga bwana pasco.
Kwenye course ya Law of Tort kuna mapindi ulikua huingii darasani.
Ndio unafiki na uongo wa wanasiasa! Ana madudu anayowajibika nayo moja kwa moja, hayakiri, Ila makosa ya mtu mwingine, anageresha kuomba radhi!Unaombaje radhi kama siyo mhusika na umekiri ni mtu mzima ana maiisha yake mbali na wewe