Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Wote hawaeleweki. Sheria mkononi na nadharia potofu enye mikongano baina ya jamii mbili zinazodai kuwa na haki na wafauta sheria.
Kuna sheria zimekuwa twisted.
 
Hapo tayari wakina Kingai wanasawazisha mapema tena huyo jamaa anaye ongeaongea ajiangalie.Hii ni Republic of Msoga under care taker Bibi from Karafuu Island na siyo Republic of Chato.
 
Juzi hapa Mtoto wa Biden, zimevuja video zake akiwa na Wanawake huku anavuta unga na bado Biden hakuwajibika.
 
Umeshaambiwa anajitegemea na ana Familia yake kwahiyo sio vicarious liability tena maana sio tena sehemu ya Familia inayolala na kula kwa baba. Atawajibishwa mtoto kama mtoto lakini pia sheria yetu ya makosa ya jinai inasema kuwa Kosa la mtu mwingine hawezi kuwajibika mwingine.
 
Hapo waziri kaongea tu. Backdoor watamalizana.
Tena hao traffic nina uhakika wanaweza kufukuzwa kazi au kuondolewa kwenye u traffic. Mnamkumbuka kamanda wa Traffic mmoja alivyo mshughulikia dereva wa serikali kwa video, baada ya muda aliondolewa kwenye nafasi yake. Yaani hao traffic ni wajinga, walipaswa wanalizane naye kimya kimya
 
clip ipo zaidi ya hiyo, kifupi tuu mtoto hana adabu na umeona mzazi wake kaomba radhi ujue kuna makosa ndani yake.
Kitendo cha Waziri kutoa tamko kwamba huyo ni kijana wangu, maana yake ni kwamba kuweni makini na mtakachomfanyia,

Akimwambia baba yake kuwa Kopro fulani kaninyanyasa, inakula kwa Kopro, na jamaa yuko sahihi anaposema kuwa hajawahi kupelekwa polisi, kumpeleka polisi mtoto wa waziri unajisumbua bure tu.
 
Kweli akili ni nywele. Kabisa unaamini hapa watu wanaona wivu? Na kuna mjinga mwingine amesema hili ni tukio la kawaida sana!
Usilazimishe akili zako za kukosa zifanane na watu wote wee kilaza, hili ndilo tatizo la utapiamlo toka utotoni ulishindia kiporo cha ugali wa mhogo leo unalazimisha akili zako ndio ziwe akili za Taifa
 
Usitetee basi kama haujaona clip za kutukuna za huyo mtoto, narudia tena waziri kuomba msamaha sio kwamba kusema anawatahadharisha bali aibu aliyoipata si nzuri kwake.
 
Usitetee basi kama haujaona clip za kutukuna za huyo mtoto, narudia tena waziri kuomba msamaha sio kwamba kusema anawatahadharisha bali aibu aliyoipata si nzuri kwake.
Mimi sitetei, unaelewa kiingilishi?

Ninasema, If you have brains enough, you keep your paws off that boy, because it can backfire to you!

Hata kama ametukana, mtoto wa waziri wewe polisi humfanyi lolote, tuoneeni sisi masikini tu.
Simbachawene amejidai kuomba radhi ili kukohoa kuonyesha kwamba nipo baba yake, kama umedanganyika ni wewe tu!
 
Have you heard about Hunter Biden Sir?
 
Hili ndio alipaswa kufanya, kujiuzuru na kuiomba jamii samahani. Hizi nyingine ni story tu analeta.
Ila watu mna roho mbaya sana aisee hivi imagine ungekua wewe ndo uyo simbachawene tusiwe wajinga kiasi hichi na ameshajitokeza public amesema na ametoa maoni yake sasa akijiuzuru utateuliwa wewe ama nini?
 
kwenye hiyo reply yako nioneshe hicho kiinglish mwalimu wangu
 

Attachments

  • Screenshot_2022-08-20-19-18-06-702_com.android.chrome.jpg
    85 KB · Views: 3
Nchi hii viongoz wanafanya mambo sivyo na hawajiuzulu sembuse hii issue ya mtoto
Ungekuwa we mwenyewe hapo
Paskali usingejiuzulu

Ova
Issue hii ni personal sana na ni issue ya akwaida sana baada ya watu kudeal na vitu vya msingi maisha yamekua ghari sana tunakuja kucomment simbachawene awe responsible kwenye issue haina kichwa wala miguu.kwenye tozo mpo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…