Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

And how old are you now? Be frank
Umri wangu hauna umuhimu kwenye mada. Nilikuwa Advance akiwa O level. Mpira tulienda wote kutazama na alifanya mambo ya kawaida kabisa ya wanafunzi wengine.
Can you imagine first time nimefika dorm namtazama hivi namuona Simbachawene huyu hapa.
 
Ni kweli Kagonga Ila Mbona Sisikii Akiongea Hayo Maneno Anayo Ongea Huyo Jamaa Kwenye Video. Jamaa asije kuwa Ameongea kwa Hisia Tuu na Kwa Mtazamo Wake.

Unless kuna Video Clip Nyingine ambayo ikumuonesha huyo Mtoto akisema Hayo Maneno. Hapa Ndio watanzania Huwa tunashindwa Hata Mahakamani. Badala ya Ku record akitamka Hayo Maneno wewe una jirecord ukimnukuu alicho kisema… What if ni hisia Za Huyo Jamaa?

Nahisi Hapaa Alie record kajistukia Tuuu
 
Mfumo mbovu wa Ujamaa ndiyo umeleta matabaka ndani ya nchi. Nchi ina vigogo (ruling elites) na watu wa kawaida. Nyerere ndiyo wa kulaumiwa kwa kutuletea huu mfumo wa Ujamaa.
 
Siyo Tanzania. Tena hatua atakazochukuliwa zitakuwa ni laini laini tu ili kufunika kombe mwanaharamu apite.
Kwani kosa la traffic inahatua gani kali ya kuchukuliwa?

Au mnataka dogo ahukumiwe kwa sheria tofauti na traffic case?
 
Kwa maoni hata uliyotoa sahau kabisa kuuoata ubunge kwenye chama chenu.
 
Ni ngumu mno nakuhakikishia. Yaani mtoto wa bosi hahahah. Yaani hapo Mama mtu akisema tu sitaki mwanangu ateseke hao polisi watakoma. Unakumbuka yule traffic wa Mke wa Dkt Mahiga, unajua kilichomtokea??? Alijuta!
Si anko magu alimsifia,sasa alijuta Nini?
 
Si anko magu alimsifia,sasa alijuta Nini?
Behind the door wenzake walimshughulikia. Unajua iko hivi, kila mtu anataka kujipendekeza, huyo mtoto wa Simbachawene kitakachoenda kutokea ni afisa mmoja tu tena anaweza kuwa IGP akaamrisha dogo aachwe na akampigia waziri tunaomba utusamehe na hapo hao traffic kibarua kipo hatarini. Yaani hao polisi hawakutumia hekima. Ni muhimu walipaswa baada ya kujua wawasiliane hata na baba yake kwa sababu ni waziri then kimya kimya wanamaliza zali. Hiyo ya mapicha video, wamuulize mwenzao kilichomtokea.
 
Duh!kumbe! Basi najua anko magu alimsifia so nilitegemea hata cheo angepandishwa.

Kumbe walimzingua?
 
Huyu Waziri aache ujuha. Amnusuru mtoto wake. Hakuna mtu aliyeumia hapo. Hao watu wamekasirika tu.
Kuwaambia Polisi wamalizie hasira zao zote kwa huyo mtoto. Anazijua hasira za Polisi ?
Huyu kijana akidhalilishwa mahabusu, Waziri atapoteza sifa ya kuwa Waziri.
Gari za bei gani,kijana kauliza. Ni swali halali,kama ana hela za kulipa.
Lakini mimi nilidhani Masaunindio Home Affairs minister.
 

Mzumbe sekondari au?

Nakumbuka kulikuwa na dogo wa simbachawene pia, haguswi na mtu pale. Alikuja kuhama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…