SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

Duuuh,
 
Kuongoza watanzania ni kazi nyepesi sana, na hapa ndo utakuja kujua kwamba ile kauli ya kwamba "waafrica ni wamoja isipokuwa mipaka tu ndo imetutenganisha" kuwa ni ya uongo, species za kenya tu hapa ambao tumepakana nao ni tofauti kabisa na hizi ndina za Tz, achilia mbali SA ambako mtasema ni mbali.
 
 
Mkuu hebu fafanua kwa kina,
 
Dawa ya meno ilikua 3000 sasa 5000 wacha kazi iendelee!
 
Wewe ni kiongozi wa level gani?
 
Hakika Mama Samia SULUHU Hassan Anaupiga Mwingiiiiiii na anatumia akili nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sana kuliongoza taifa, ona maendeleo, nenda madarasa 15,000....wakulima ni Furaha, nenda miradi mikubwa inaendelea vema, Sasa kumtua ndoo Mama KICHWANI ni lazima miradi ya maji Bwerereeeee, Mama Anaupiga Acrobatics aiseee kila kona sifaaa....Sasa ni Simiyu kwa mwamba wa Escrow David Kafulila.....
 
Ila huyu huenda ndio mpango wa Mungu mwenyewe,
 
Tafadhari sana we kijana ni heri ukae kimya kuliko kutuletea huu upuuzi wako kwaio sie tule pamba au kwa nini hujasema awamu hii ndio awamu ambayo wananchi wake wamekumbwa na matatizo kibao njaa uchumi unakuja kuropoka hovyo hapa
 
Unahitaji kuwa mjinga ili uishi kwa amani nchi hii. Watu baada ya kuomgelea maendeleo ya nchi, anaongelea uchaguzi ambao upo miaka mitatu mbele.
 
Tafadhari sana we kijana ni heri ukae kimya kuliko kutuletea huu upuuzi wako kwaio sie tule pamba au kwa nini hujasema awamu hii ndio awamu ambayo wananchi wake wamekumbwa na matatizo kibao njaa uchumi unakuja kuropoka hovyo hapa
Hoja yangu ni bei ya pamba,
 
Kukiwa na kitu kizuri lazima tukisifie.....Kweli Samia ni rais aliye bora sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…