SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

Katiba ibadilishwe Mama Samia awe rais wa maisha!! Siku ya kutoka madarakani iwe ni siku anbayo tunakwenda kumzikaaaa!!

Endelea kuupiga mwingi Mama wa wanyongeeeeee
 
Ukisema hivyo kwa kuangalia bei ya pamba kwa mwaka 2022, je mwaka 2024 bei ya pamba ikishuka hadi 750 Tsh kwa kilo ITAKUWAJE KWA UCHAGUZI WA 2025 ?
 
kama wakati mche wa sabuni ulikuwa shs 1,200 pamba ilikuwa shs 810, leo mche wa sabuni shs 3,000 pamba shs 1,600; nani kapigwa na huo mwingi?
 
Duh
 
kodi za wananchi kukarabati vitega uchumi vya ccm ni kuupiga mwingi!
 
Katiba ibadilishwe Mama Samia awe rais wa maisha!! Siku ya kutoka madarakani iwe ni siku anbayo tunakwenda kumzikaaaa!!

Endelea kuupiga mwingi Mama wa wanyongeeeeee
Kama sio katiba hata mimi natamani hii,
 
Na korosho nayo itapanda bei. Sio yule mwendazake aliye haribu soko.la hayo mazao hususani korosho. Aiseee Mungu ni.mwema kwetu wakulima
 
Dawa ya meno ilikua 3000 sasa 5000 wacha kazi iendelee!
Unga wa mahindi kilo ilikuwa 500 sasa 800.
Sabuni ya kufulia kipande ilikuwa 500 sasa 800
Mafuta ya petrol na diesel yalikuwa 2300 sasa 3100
Maji ya kunywa ya 500 sasa 700
 
Huyu si Mh Kafulila? Na aulizweni lini bei ya mafuta ya Petroli hata haya ya kupikia bei zake zilipanda zikafiikia kiasi hiki cha kipindi hiki?
 
Tuache unafiki wakuu, suala la kupanda kwa bei ya pamba ni juhudi za serikali au ni mabadiliko ya soko la dunia? kama ni juhudi za serikalibasi hata suala la kupanda kwa bei ya bidhaa tunapaswa kuilaumu serikali.Tuache unafiki.
 
Kwani soko la dunia halikuwepo kabla ya Rais Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…