SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

Huyu bwana yuko vizuri sana
 
Kazi nzuri ya Rais Samia,inaitwa Simiyu model 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220609-225445.png
    158.8 KB · Views: 7
Kabla hujachangia huu Uzi lazima utathmini thamani halisi ya sh 1830 kwa leo.
Hii pesa na mfumuko huu wa bei ni worthless.
Hupati kg ya ngano, hupati Lita ya petrol, diesel Wala korie, hupati kg ya sukari, kupati kg ya mchele n.k, n.k
 
Kabla hujachangia huu Uzi lazima utathmini thamani halisi ya sh 1830 kwa leo.
Hii pesa na mfumuko huu wa bei ni worthless.
Hupati kg ya ngano, hupati Lita ya petrol, diesel Wala korie, hupati kg ya sukari, kupati kg ya mchele n.k, n.k
Kwani inflation ndio inapandisha bei ya Pamba?

Pamba imeanza kupanda bei tangu mwaka jana,
 
Tuache unafiki wakuu, suala la kupanda kwa bei ya pamba ni juhudi za serikali au ni mabadiliko ya soko la dunia? kama ni juhudi za serikalibasi hata suala la kupanda kwa bei ya bidhaa tunapaswa kuilaumu serikali.Tuache unafiki.
Soko la dunia mengine waambiwe wanakijiji huko. Halafu simiyu sio wa kutegemea kwa mtindo huo, wao wanao msemo wa
" Kula kwa...... kulala kwa ...."
Watakushangilia na kukubeba ila kura watapigia mwingine. Labda wewe wasubirie kuwapiga kwenye sanduku

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
kama unafikiri kabudi, lukuvi na ndugai wamelala tuu utakuwa unajidanganya, wee subiri mafuriko ya 2025!
 
Huu msemo haupo usukumani, wasukuma sio, watapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…