Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

Aisee! Ni masikitiko! Hivi huu mradi wa njia sita kuanzia kimara mpaka kibaha mile1 umefunguliwa!!!?
 
Anaigiza movie, movie nyingi walizoact wabongo sio nzuri. Yeye saiv kapiga mpya hyo na don yi.
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Mbowe alipaswa awe keshakufa kwa kunyongwa. Lisu angekuwa ughaibuni. Lema angekuwa anavuna matunda canada.
 
Usipompenda yeye anapungukiwa nini na wewe kwako nimi kinaongezeka
 
Ndo maana kuna kura
Inamaana kuna watu kama nyie ambao hamumpendi itabidi mkubaliane nae tu
Deal with it
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Asiyeona haambiwi tazama.
Asiyesikia haambiwi sikia.

Mimi naona TEc ndiyo peke yao wanaochapa kazi Tanzania hii, kazi yao wanaijuwa sana hakuna mfano, tena kwa mafanikio makubwa na matokeo tunayaona kila sehemu, hakuna siri.
 
Hao Tec ni kina nani?

Namuongela Samia Rais wa nchi,unaweza kunidokeza kafanya yapi ya maana?
 
TEC leo huwajuwi, hujasoma sunday school wewe?

Hivi kuna kijana Tanzania hii toka iumbwe kawahi kupewa eka kumi za shamba amiliki mwenyewe?
Aliyekwambia humu wote tunasali Roma nan?

Yaani niishi Tanzania kila Sunday niwe naelekea Roma kusali?

Hebu wewe nieleze taratibu nielewe mkuu
 
Back
Top Bottom