TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
- #121
Biashara kama zipi?,Hizi za kuuza bandari zetu?Amerudisha demokrasia ikiwemo ya mtu kama wewe kuelezea hisia zako bila hofu yoyote, ameboresha mahusiano na mataifa ya nje hali iliyofungua milango ya uwekezaji na biashara za ndani, n.k.
Tatizo wengi mnatekwa kisiasa kwa maslahi ya wanasiasa