Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

Amerudisha demokrasia ikiwemo ya mtu kama wewe kuelezea hisia zako bila hofu yoyote, ameboresha mahusiano na mataifa ya nje hali iliyofungua milango ya uwekezaji na biashara za ndani, n.k.

Tatizo wengi mnatekwa kisiasa kwa maslahi ya wanasiasa
Biashara kama zipi?,Hizi za kuuza bandari zetu?
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Una macho au vidonda huoni maendeleo ya ngorongoro au unataka kumchafua tu rais
 
Mojawapo cha maana alichokifanya ni watu kama wewe kuwa huru kuropoka mkiwa mmeshiba ugali hapo kwa shemeji zenu. Au unaona huu uhuru wa kuropoka umejileta tu? Enzi za JPM mliweza kuropoka?
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Angalia utaona
 
Kupanda kwa gharama za bundle, kupanda kwa Bei za mafuta kila jumatano ya kwanza ya mwezi, kukosekana kwa mafuta, kukosekana kwa dollar, kukatika kwa umeme kila Mara Hadi zaidi ya masaa 12 kwa siku, kuteua na kutengua kila Mara huku utendaji ukibaki uleule, etc etc etc
 
Back
Top Bottom