[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Kipo au hakipo hawezi pendwa na wote that's the point. Hakuna mtu anayependwa na wote hata manabii hawakupendwa na wote.
Miradi ipi anayoiendeleza?We mrundi bila shaka ndio kusema ujui hayati alicha kaanzisha nini na huyu mama anaendeleza nini?
Aisee halafu kuna mtanzania anaamini kuna maendeleo yataletwa na hawa viongozi... Duh!...Alichofanya cha maana ni kuhamasisha ufisadi
View attachment 2743344
Mi napenda macho yake mazuriUkihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
nani alikwambia ICE CREAM inapendwa na kila mtu!!!!
so why to love your president itβs not common phrase!!!It's a common phrase. Tembea au jisomee.
Wamewekeza kwenye kitu gani precisely, coverage ikoje? output ni ipi? Come with facts and numbers....Angalia wawekezaji wa kigeni wameongezeka nchini.
Acha upendeleo AFCON tuliingia 1980 na 2019Hakuna hata kimoja, hivi Tanzania ishawahi kufika fainali za AFCON?
Hata yeye hakupendi kabisaUkihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
Sukuma gang mumejipanga kimkakati kweli kweli na mlivyo wajinga mnakuja na heading zile zile zinazofanana ππ.Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
Hii nchi ilifungwa lini?
Fafanua mkuu
Safi sana, na mwaka huu tumeingia. Sasa tukachukuwe ubingwa tusiishie kufika tu fainali.Acha upendeleo AFCON tuliingia 1980 na 2019
Mkuu unataka kusukumiwa na Sukuma gang?Sukuma gang mumejipanga kimkakati kweli kweli na mlivyo wajinga mnakuja na heading zile zile zinazofanana ππ.
Hii ni mada ya tatu,Ina heading ya hivi π€£π€£
Wewe unataka afanye kipi Ili umpende ikizingatiwa kwamba kumpenda mtu ni hiari?
Anaupiga mwingi tuAmefungua nchi
Amerudisha demokrasia ikiwemo ya mtu kama wewe kuelezea hisia zako bila hofu yoyote, ameboresha mahusiano na mataifa ya nje hali iliyofungua milango ya uwekezaji na biashara za ndani, n.k.Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.