Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

Kipo au hakipo hawezi pendwa na wote that's the point. Hakuna mtu anayependwa na wote hata manabii hawakupendwa na wote.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
We mrundi bila shaka ndio kusema ujui hayati alicha kaanzisha nini na huyu mama anaendeleza nini?
Miradi ipi anayoiendeleza?

Maana aliyoiacha Magufuli tayari ishajifia kitambo
 
Amejenga vituo vya afya 1000,ameweza kuiendeleza miradi aliyoianzisha marehemu JPM,ameishatia saini miradi ya kilomita nyingi za barabara ambazo zitaaanza kujengwa hivi karibuni,filamu yake ya Royal tour imeleta watalii wengi sana,ameweza kushawishi wawekezaji wa maana kuja nchini mfano ni hawa DP World magwiji wa uendeshaji wa bandari duniani,ameweza kuondoa mambo ya kishenzi kama vile kuzuia account za watu benki.
Kuhusu wewe kumpenda au kutompenda,haustahili kulaumiwa,sababu huo ni utashi wako toka ndani kwako,hakuna mwenye mamlaka ya kukubadilisha.
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Mi napenda macho yake mazuri
 
Hata yeye hakupendi kabisa
 
Mimi kama mtumishi wa Uma nampenda SSH kwa moyo wangu wote
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Sukuma gang mumejipanga kimkakati kweli kweli na mlivyo wajinga mnakuja na heading zile zile zinazofanana 😆😆.

Hii ni mada ya tatu,Ina heading ya hivi 🤣🤣

Wewe unataka afanye kipi Ili umpende ikizingatiwa kwamba kumpenda mtu ni hiari?
 
Mkuu unataka kusukumiwa na Sukuma gang?
 
Hana la maana alilolifanya, kama viongozi wengine wa CCM wanavyokua, Ila ni afadhali yeye kuliko JIWE, kwa kweli tulkuwa na hali mbaya mno kipindi cha JIWE ila wengi wetu ni wasahaulifu
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Amerudisha demokrasia ikiwemo ya mtu kama wewe kuelezea hisia zako bila hofu yoyote, ameboresha mahusiano na mataifa ya nje hali iliyofungua milango ya uwekezaji na biashara za ndani, n.k.

Tatizo wengi mnatekwa kisiasa kwa maslahi ya wanasiasa
 
Back
Top Bottom