TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #121
Biashara kama zipi?,Hizi za kuuza bandari zetu?Amerudisha demokrasia ikiwemo ya mtu kama wewe kuelezea hisia zako bila hofu yoyote, ameboresha mahusiano na mataifa ya nje hali iliyofungua milango ya uwekezaji na biashara za ndani, n.k.
Tatizo wengi mnatekwa kisiasa kwa maslahi ya wanasiasa
Kila mkiambiwa bandari haijauzwa mnakuwa wagumu kuelewa. Acha kukubali kuwa mtaji wa wanasiasa katika kutimiza malengo yao.Biashara kama zipi?,Hizi za kuuza bandari zetu?
Hivi unaakili timamu kweli?Kila mkiambiwa bandari haijauzwa mnakuwa wagumu kuelewa. Acha kukubali kuwa mtaji wa wanasiasa katika kutimiza malengo yao.
Pepo mnalo kwenye ukoo wenu[emoji445]Una pepo baya Sana [emoji445]
Hebu niambie ukosefu wangu wa akili ni upi? kutofata mkumbo na kutoshikiwa akili?Hivi unaakili timamu kweli?
Una macho au vidonda huoni maendeleo ya ngorongoro au unataka kumchafua tu raisUkihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
IpiMkuu miradi ya kimkakati inayoendelea huioni!?
[emoji23]Amepanua nchi...
Nilishajibu hili fuatilia huu uzi.
Angalia utaonaUkihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
Anza wewe kwanza kutuelezea hiliBinafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini