Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Wapi nimesema 50,000 nyingi? TRA hawatoi EFD machine bure. Hata hivyo, nitakuwa mteja wenu soon.
Nitaenda.TRA wanatoa bure VFD, tembelea ofisi za tra uliyo Karibu nayo kupata maelezo. Wanakupa app. kazi yako inabaki Kuwa na printer
Akishalipia gharama za mfumo hivyo vifaa mnampatia bure?Zinawafaa sana... Gharama inategemea na mtu anatumiaje na kama tayari anavifaa vingine kama simu... Gharama za mfumo ni elfu 50 kwa mwaka mtu ana option pia ya kulipa one time fee ya laki 4 tu
Watu hawawezi kuamini kama mnyakyusa anaweza kuleta huduma yenye quality[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli kabisa hili AMBWENE KONZO LIMITED linanipa ugumu sana watu hawaamini
Akishalipia gharama za mfumo hivyo vifaa mnampatia bure?
Watu hawawezi kuamini kama mnyakyusa anaweza kuleta huduma yenye quality[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hata kama umewahi kununua efd machine! , Hiyo 590000 unayonunua , unaweza ku iclaim back unapofanua mahesabubya mwisho wa mwaka kama moja ya gharama za uendeahaji,Elimika na wewe hiyo mashine unayonunua unamnufaisha nani na hii hapa unamnufaisha mtanzania mwenzako na kijana akapata elimu ajira hakuna amejiongeza.
Yeye amekuambia kuwa waweza lipa laki nne mazima mkuu.ama 50k kwa mwaka so uchague wewe
Sijui hata kama umewahi kununua efd machine! , Hiyo 590000 unayonunua , unaweza ku iclaim back unapofanua mahesabubya mwisho wa mwaka kama moja ya gharama za uendeahaji...
MkuuUnaweza Claim gharama zozote za uendeshaji kama "gharama za uendeshaji" kwaiyo kama unanafasi ya kuclaim unaruhusiwa kuclaim hata gharama za VFD pia.
Kingine vitu kama virus attacks , file zikacoruption nk vipo kwenye vifaa vyote vya electronic hata EFD na sio common, tena VFD ina namna nzuri zaidi za kumitigate hayo madhara ukilinganisha na EFD. Na VFD sio simu tu unaweka kwenye kifaa chochote unachoona ni salama kwa mazingira yako.
Kingine zote zipo kisheria na zinatolewa na Mamlaka ya Mapato na kwa sasa unaruhusiwa kutumia unayotaka Tofauti na Zanzibar ambao wao hawana option ya EFD ni vizuri kama una hofu ukaulize TRA kabla ya kupost huku
Nimeona unachanganya na kingereza maana umesoma na nirahisi kudadavua kua VFD sio kitu cha Tanzania pekee ni trend ya Dunia nzima hata Kenya wamechelewa kuanza lakini wapo mbali mno.
Tumia Elimu yako kufanya research kabla hujapublish msimamo wako wa sababu watu wanasoma wanadhani unajua unachokiandika.
Mkuu
Najua katika mjadala huu ni kama naharibu biashara yako ,ila ukweli ni lazima usemwe kwa manufaa ya wengi , .
Mi siuzi Efd mkuu,Kwanini umejaza asumption nyingi? Risiti partial ni nini? Expensive software zipo immune kwa virusi? Kampuni kubwa hazihakiwi? Cheap ukilinganisha na nini? Upo general mno hata hujui hii solution ni nini na inafanyaje kazi. Kuwa msomi na uulize kama hujui usione aibu. ungeuliza kama vitu unavyohofia havijaangaliwa ili kuwasaidia wasiojua ningekuona wa maana sana. Kuuliza sio ujinga na ungewasaidia wasio jua.
Kama unauza EFD au unanufaika na mauzo yake basi nikutoe hofu kwamba huu sio mbadala wake bado utaendela kupata pesa. Usije ukatupa na ile TV yako ya chogo na simu ya mshindi.
Mi siuzi Efd mkuu,
Ila katika mihangaiko yangu ya maisha ninejikuta nahitajika kuwa na Efd , tena zaidi ya moja , niliwahi kudeal na jamaa flani kampuni wao
Boss unajua jamàa anaona kama ni inshu kubwa sana hiyo hadi anaogopa sijui expensive IT, labda siyo mtu wa manunuzi saiz watu wengi tu wanatoa invoice iliyo na efd moja kwa mojaKwanini umejaza asumption nyingi? Risiti partial ni nini? Expensive software zipo immune kwa virusi? Kampuni kubwa hazihakiwi? Cheap ukilinganisha na nini? Upo general mno hata hujui hii solution ni nini na inafanyaje kazi. Kuwa msomi na uulize kama hujui usione aibu. ungeuliza kama vitu unavyohofia havijaangaliwa ili kuwasaidia wasiojua ningekuona wa maana sana. Kuuliza sio ujinga na ungewasaidia wasio jua.
Kama unauza EFD au unanufaika na mauzo yake basi nikutoe hofu kwamba huu sio mbadala wake bado utaendela kupata pesa. Usije ukatupa na ile TV yako ya chogo na simu ya mshindi.
Kwa vipi EFD iweze kuwa connected na server za TRA na smartphone isiweze?Sijui hata kama umewahi kununua efd machine! , Hiyo 590000 unayonunua , unaweza ku iclaim back unapofanua mahesabubya mwisho wa mwaka kama moja ya gharama za uendeahaji,
Hii ya mtoa mada ni laki nne inayozama yote , huwezi kuiweka kwenye gharama na Tra wakakubali., Lakini yote kwa yote mifumo ya IT kwan nchi za Africa bado ni kizumgumkuti ,
Ni juxi tu hapa tulikuwa na tatizo la control number za malipo ya serikali , na limewasumbuabkweli wataalamu .
Efd ipo connected na server zao na hata likitokea la kutokea bado mteja unakuwa mbali na mabalaa, Hii ya kutumia smartphone kama Efd , kuna siku unaeza pata virus attacks , file zikacorupt , ukaanza kutengeneza illigal recepts bila kujua ,halafu uje ubananishwe na uhujumu uchumi kizembe kabisa .
All in all , I just can't.
Mkuu uko makini kweli ?Sisi tumeanza EFD 2018 Kenya wameza 2020 wao wamefanyikiwa sababu watu kama wewe kule Wachache. Kuwa na Hofu ni jambo jema lakini kuponda kabla ya kufanya utafiti ni jambo baya na ndio unachofanya hapa. Kama EFD zinakufaa komaa nazo sana zote zimetolewa na MTU mmoja na kufanya kazi moja.
Electronic receipts ulizodadisi sio VFD hizi siwezi kukupa bila kuwahusisha TRA na kimgine huna haja ya kudadisi sababu ukitoa tu risiti mda huo huo taarifa inaenda na mtu yeyote anaweza kuverify risiti yako. Inasikitika kuona unaonekana msomi na bado hujui chochote na pia hutaki kuuliza.
MkuuBoss unajua jamàa anaona kama ni inshu kubwa sana hiyo hadi anaogopa sijui expensive IT, labda siyo mtu wa manunuzi saiz watu wengi tu wanatoa invoice iliyo na efd moja kwa moja
Yeye anaegemea tu kwenye mabaya ambayo yanazidiwa na mazuri mengi.!
Mkuu uko makini kweli ?
Efd ipi unayozungumzia ilianza 2018?, Mwaka 2014 wafanyabiashara wa kariakoo waliweka mgomo....
Mkuu
For the records , sisi bado hatujawa na competent IT experts,
Mitandao ya Tra benki nk huwa marq kadhaa....
Kwa hiyo nyie ni madalali tu wa huo mfumo, wabongo banaChief kama utatumia huduma yetu huna haja ya kwenda huko tunakutumia mfano wa barua, unaisaini unaturudishia na TIN certificate yako sisi ndio tunaiomba kwa niaba yako. Kwanini upate tabu? tena kwa sasa pesa zenyewe hatuzichukui mpaka umepata huduma.
Kwa hiyo nyie ni madalali tu wa huo mfumo, wabongo bana