Ubabaishaji mtupu, hizi kazi za kupeana bado ni tatizo sanaWe twende tartiiibu !mbona kama sijaelewa??
Gharama elfu 50 kwa mwaka , si ndio? Hii laki 4 one time fee ni kitu gani?
Si bora ninunue efd machine kwa 580000, with no strings attached?
TRA wapuuzi sana, hii kitu tuliipigia kelele sana. Hakuna haja ya kulazimisha matumizi ya EFD machine (hardware) nyakati hizi wakati inawezekana kabisa kuwa na software tu.Hongereni sana. Nilitoa hili wazo siku za nyuma. Kinachokera ni kwamba badala ya TRA kuja na hiyo application, wameruhusu (?) watu binafsi kutengeneza apps hiyo ndio maana mnatutaka kulipa hiyo shs 50,000 kwa mwezi au 400,000 kama one-time fee. Kwa hiyo tunalipia tena kama EFD machine tu.
Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?
Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya juu ni mpaka shs 2m. Natoa pendekezo lifuatalo kwa TRA. Watengeneze application ambayo inaweza...www.jamiiforums.com
Nadhani umeninikuu vibaya hii TRA wanatoa bure.. Pesa tunayochukua sisi... Tunaichukua sisi, Haiendi kabisa TRA wala hawatupangii kiasi. Yani wakati tunasajili kampuni tungesajili kama wamisionari tungekua tunatoa bure piaTRA wapuuzi sana, hii kitu tuliipigia kelele sana. Hakuna haja ya kulazimisha matumizi ya EFD machine (hardware) nyakati hizi wakati inawezekana kabisa kuwa na software tu.
Huko TRA kumesheheni WAPIGAJI TUPU,mimi nitaanza kulipa kodi kikamilifu siku watakapohamia kwenye software ambazo kimsingi zinapaswa kuwa BURE KABISA.
Mkifikia mnahitaji Printer, mnambie, ninazo Digital printer ndogo...Hapa unaweza pata PDF File au ukaituma kama picha.... Mteja wako kama hajaelimika anaweza kukulazimisha uwe na printer ila mwingine unamtumia tu na inakubalika na TRA
Ndio zitatufaa sana... Sisi tunatoa software pekeake kama unabei nzuri naweza recommend waje wachukue kwako... Naweza pata picha na bei?Mkifikia mnahitaji Printer, mnambie, ninazo Digital printer ndogo...
Ndiyo mkuu unaweza.,.Ndio zitatufaa sana... Sisi tunatoa software pekeake kama unabei nzuri naweza recommend waje wachukue kwako... Naweza pata picha na bei?
hahahahaha we jamaaYani wakati tunasajili kampuni tungesajili kama wamisionari tungekua tunatoa bure pia
Nilishawahi kuzitangaza hapa miaka ya nyuma, na sikupata mteja, muhimu ni kukubaliana na ww, then wewe ukiwa unaongea na wateja wako utawapa full package price iki include hiyo printer!
AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:
- NAKALA YA TIN CERTIFICATE YA BIASHARA
- BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA MMILIKI
JITENGENEZEE BARUA KWA KUTEMBELEA TOVUTI YETU, TUANDIKIE TUKUHUDUMIE
UNAWEZA ANZA NA SIMU ULIYONAYO KISHA UKANUNUA VIFAA VINGINE BAADAE.
[EDIT]
TRA ndio watapitisha ombi lako kabla hujaanza kutumia hivyo ni vizuri uwe umefanyiwa au umefanya makadirio ya kodi na unalipa au umeahidi kulipa.
https://www.facebook.com/
Ulitangaza wapi? Unaweza kuweka link?Nilishawahi kuzitangaza hapa miaka ya nyuma, na sikupata mteja, muhimu ni kukubaliana na ww, then wewe ukiwa unaongea na wateja wako utawapa full package price iki include hiyo printer!
Ndio, lakini sio wakati wote, walau mara moja kwa wiki ili mfumo utume mauzo yako TRA, unaweza ukatumia wi-fi au ukarusha hotspot pia au ukadandia internet yoyote utakayooipata.Bando nayo je ni lazima?
Nilishawahi kuzitangaza hapa miaka ya nyuma, na sikupata mteja, muhimu ni kukubaliana na ww, then wewe ukiwa unaongea na wateja wako utawapa full package price iki include hiyo printer!
Zina uwezo wa kutoa risiti ya karatasi!?https://www.facebook.com/
Kuna hizi smartphone za android zinauzwa Elfu 80
Ndio zinaweza lakini ni lazima upate/ununue/uazime/ukodi printer yenyewe. Kama unanunua printer zinaanza laki mbiliZina uwezo wa kutoa risiti ya karatasi!?
Ndio wanakubali... Ni ngumu kuamini ila ipo hivyo... Tena sehemu yao wanafanya bure unatulipa sisi tu. Na kama una subira huenda wakafanya bure kila kitu hapo baadae. Ila kama unataka leo karibu sanaTRA wanakubali hii ?, Yaani badala ya mtu kununua EFD kwa wale authorised dealers waliojiwekea mirija ya kujipa shavu yaani unatumia hii ?
Dah mkuu, bado hujafafanua vizuri kabisa yaniNi ngumu kuamini ila ipo hivyo... Tena sehemu yao wanafanya bure unatulipa sisi tu. Na kama una subira huenda wakafanya bure kila kitu hapo baadae. Ila kama unataka leo karibu sana
Dah mkuu,bado hujafafanua vizuri kabisa yani