macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Tanzania nchi ya kijima sana. TRA ndiyo wanatakiwa kuwa na hiyo program na iwe bure kwa kila mfanya biashara. Badala wavutie watu kulipa kodi wanazidi kuwakamua. Kwa nini wasitengeneze program na kutoa bure ili watu wavutike kulipa kodi badala ya kuachia vishoka wakamue watu laki tatu?Ndio zinaweza lakini ni lazima upate/ununue/uazime/ukodi printer yenyewe. Kama unanunua printer zinaanza laki mbili
Acha wivu, Subiri uletewe na TRA Bure au kaombe kuwa kishoka na wewe basi upige pesa...Tanzania nchi ya kijima sana. TRA ndiyo wanatakiwa kuwa na hiyo program na iwe bure kwa kila mfanya biashara. Badala wavutie watu kulipa kodi wanazidi kuwakamua. Kwa nini wasitengeneze program na kutoa bure ili watu wavutike kulipa kodi badala ya kuachia vishoka wakamue watu laki tatu?
Bwana Elya hongera sana.Sambamba na EFD za kawaida sasa wafanyabiashara wanaweza pia kutumia kompyuta, Point ya Uuzaji (POS), SIMU na mashine yoyote inayofaa inayoweza kuunganisha kwenye mfumo wa EFDMS kwa kusudi la kutuma taarifa za kodi bila kupata EFD mpya.
Bwana Elya hongera sana.
Nakukubali tokea tukiwa shule hukuwa mtu wa kukubali kufeli pambania hapo hapo.
Sasa wale Wapuuzi wameongeza gharama za bando, pumbavu kweli! Sijui nani katuroga
TRA wamejazana makada wa ccm ubunifu ni zero! Wao wanacho jua ni kukamua kodi tu na kuunza vikosi vya kuvamia maduka ya watuTanzania nchi ya kijima sana. TRA ndiyo wanatakiwa kuwa na hiyo program na iwe bure kwa kila mfanya biashara. Badala wavutie watu kulipa kodi wanazidi kuwakamua. Kwa nini wasitengeneze program na kutoa bure ili watu wavutike kulipa kodi badala ya kuachia vishoka wakamue watu laki tatu?
Safii sanaaaaaaa, ndio vijana mnahitajika Taifa hili. Weka No yakoSambamba na EFD za kawaida sasa wafanyabiashara wanaweza pia kutumia kompyuta, Point ya Uuzaji (POS), SIMU na mashine yoyote inayofaa inayoweza kuunganisha kwenye mfumo wa EFDMS kwa kusudi la kutuma taarifa za kodi bila kupata EFD mpya.
Shukrani sana, 0625 869 399 nimeandika pia chini ya pichasafii sanaaaaaaa,ndio vijana mnahitajika Taifa hili.Weka No yako
Dah! Sasa kosa la TRA ni nini hapo?Tanzania nchi ya kijima sana. TRA ndiyo wanatakiwa kuwa na hiyo program na iwe bure kwa kila mfanya biashara. Badala wavutie watu kulipa kodi wanazidi kuwakamua. Kwa nini wasitengeneze program na kutoa bure ili watu wavutike kulipa kodi badala ya kuachia vishoka wakamue watu laki tatu?
Hapana. Hapana. Hapana. TRA walitakiwa watengeneze program ambayo itatumika bure na walipa kodi. Hili linge-motivate zaidi walipa kodi na pia lingeondoa loopholes za upigaji. Hili la kusema ''inabidi watengeneze program ya kurekodi mauzo yako'' ni tishia nyau unayoweza kuitumia kwa watu ambao hawana uelewe na field ya IT. Narudia tena: hili wanalofanya sasa hivi ni jambo litakaloleta loopholes nyingi kwa wapigaji. Muda utasema.Dah! Sasa kosa la TRA ni nini hapo?
TRA wamefungua mlango kwa wote wanaopenda kutoa huduma hii watoe.
Ningefurahi kuona unafanya au una fund project ya kutoa VFD bure. Kwa TRA walitakiwa kuishia hapo kwenye kufungua API. Wakienda mbali ya hapo maana yakeinabidi watengeneze programu ya kurekodi mauzo yako. Hapo watakuwa wanakusanya kodi bado kweli?
TRA wanajaribu kutoa alternative kwa EFD machines ambazo zina limitations zake. Hili tumelisema sana hata humu JF. Tuwapongeze wamefanya jambo la maana. Sio uungwana kumkosoa mtu hata pale anapofanya jambo jema!
Vipi wewe unaelewaje utaratibu unaotumika sasahivi?Hapana. Hapana. Hapana. TRA walitakiwa watengeneze program ambayo itatumika bure na walipa kodi. Hili linge-motivate zaidi walipa kodi na pia lingeondoa loopholes za upigaji. Hili la kusema ''inabidi watengeneze program ya kurekodi mauzo yako'' ni tishia nyau unayoweza kuitumia kwa watu ambao hawana uelewe na field ya IT. Narudia tena: hili wanalofanya sasa hivi ni jambo litakaloleta loopholes nyingi kwa wapigaji. Muda utasema.
Nina mashine nilinunua maximalipo,je inaweza kutumikaSambamba na EFD za kawaida sasa wafanyabiashara wanaweza pia kutumia kompyuta, Point ya Uuzaji (POS), SIMU na mashine yoyote inayofaa inayoweza kuunganisha kwenye mfumo wa EFDMS kwa kusudi la kutuma taarifa za kodi bila kupata EFD mpya.
Setup nayopendekeza kama tayari una smartphone ni hii... Inaghalimu laki tatu tu na unaweza lipa baada ya kupewa huduma uzuri ni mteja hawezi to fautisha risiti zake na za mashine na risiti zake zinatambulika na TRA
https://www.facebook.com/
SOMA ZAIDI: Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara.
Okay, sawa hiyo programu ilipaswa kufanya nini na nini? Ukiisha kujibu then tuonyeshe inahusiana vipi na kazi za kukusanya kodi?Hapana. Hapana. Hapana. TRA walitakiwa watengeneze program ambayo itatumika bure na walipa kodi. Hili linge-motivate zaidi walipa kodi na pia lingeondoa loopholes za upigaji. Hili la kusema ''inabidi watengeneze program ya kurekodi mauzo yako'' ni tishia nyau unayoweza kuitumia kwa watu ambao hawana uelewe na field ya IT. Narudia tena: hili wanalofanya sasa hivi ni jambo litakaloleta loopholes nyingi kwa wapigaji. Muda utasema.
Hizo mashine za EFD unazosema zimefungwa kutopokea mfumo toka sehemu nyingine isipokua kwa mtu aliyekuuzia... hata hivyo naona wengi kwa maelekezo ya TRA walitoa update ya bure ili kuziwezesha nazo zitoe risiti za kisasa zenye qr-code kama tulizokua tunatoa sisi. Kama ulifanya hiyo update basi mashine yako haina shida na unaweza endelea kutumia.Nina mashine...
Okay, sawa hiyo programu ilipaswa kufanya nini na nini? Ukiisha kujibu then tuonyeshe inahusiana vipi na kazi za kukusanya kodi?
Swali la pili ni kwa nini mamlaka za mapato, sio Tanzania tu, hazihusiki na biashara ya hizi EFD machines?
Maelezo yake hayajani-convince hata kidogo. Pia wewe hujaweza. Mimi naona ni ule ule mtindo wa kibongo-bongo wa kuzunguka kwa kufanya jambo rahisi liwe na kona kona ili ulaji uwepo. Muda utaongea!Hizo mashine za EFD unazosema zimefungwa kutopokea mfumo toka sehemu nyingine isipokua kwa mtu aliyekuuzia... hata hivyo naona wengi kwa maelekezo ya TRA walitoa update ya bure ili kuziwezesha nazo zitoe risiti za kisasa zenye qr-code kama tulizokua tunatoa sisi. Kama ulifanya hiyo update basi mashine yako haina shida na unaweza endelea kutumia.
Kama utapenda kutumia mfumo wetu kama nyongeza ya hiyo sababu TRA wanaruhusu uwe na mashine zaidi ya moja karibu tupigine kwenye namba zilizo chini ya picha.
Stefano Mtangoo Nashukuru kwa kunasiadia... Naona macho_mdiliko hajui vizuri kinachoendelea wala technologia inavyofanya kazi anadhani huu mfumo ni kama maembe tunachukua tra na kuwauzia watu mtaani, na kwamba vitu vya bure serekarini vinatokana na kodi zetu wenyewe na pengine vinatekelezwa kwa upigaji mkubwa na/au usimamizi mbovu.
Maelezo yake hayajani-convince hata kidogo....
Sikuandika ili nikushawishi, unfortunately. So hakuna shida kama hujashawishika.Maelezo yake hayajani-convince hata kidogo. Pia wewe hujaweza. Mimi naona ni ule ule mtindo wa kibongo-bongo wa kuzunguka kwa kufanya jambo rahisi liwe na kona kona ili ulaji uwepo. Muda utaongea!
Chanamoto jamaa hajui maana Kabisa ya API... Na hata ikitokea hivyo bado angesema ni wapigaji wamnunulie na simu. Inaaikitisha sana sababu kuna watu wanasoma wanadhani anaelewa anachoandika.Sikuandika ili nikushawishi, unfortunately. So hakuna shida kama hujashawishika.
Nimeandika pure fact. TRA wanaweza kutengeneza mfumo unaoutaka na wakatoa bure. Haya ni maamuzi ya CG na timu yake.
Nilichosema ni kuwa TRA wako sahihi kuishia kwenye API kwa sababu lengo lao ni kukusanya kodi na sio kukusaidia wewe kutunza kumbukumbu zako.
Kwa wale wanaotumia manual work au Excel, EFD machines zipo kwa ajili ya kodi. Na wale ambao wanatumia mifumo ku automate kazi yao, TRA wametoa API ya ku connect na kuepuka EFD Machine.
Kiufupi TRA wamefanya kazi yao vizuri na hata wakiishia hapo hakuna atakayelalamika.
Huu ndio ukweli na uhalisia hata kama hutaki kuukubali!