Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

Eliya Konzo Mimi ninaprinter (thermal printer) na smartphone ,Naomba kufahamu je huduma hii nitaipata kwa gharama kiasi gani?
Laki na nusu unavyoanza, kisha elfu 50 kwa mwaka. Hakuna limit ya risiti na unaweza toa risiti bila mtandao. Karibu
 
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Sasa kama hutaki kunishawishi mbona unajibizana na mimi? Strange! Mimi wabongo nawajua kuliko. Hapa kuna dalili za upigaji wa kijinga kabisa. Si ajabu ukakuta unamhusisha hata huyo CG na timu yake unayemsema. Lakini juwa kuwa maisha ya ''ujanja ujanja'' kama haya kwa zama hizi yanaweza kuwa na matokeo yasiyotarajiwa. Muda utaamua na nitajaribu kwa kadiri niwezavyo kuona mwisho mwisho wa sakata hili.
 
Huduma au huu ni upigaji kama upigaji mwingine wowote! Kama kukataa upigaji wa kijima kama huu ndiyo kuwa na upeo mdogo basi wacha niendelee kuwa nao. Mimi Bongo naijua nje ndani na usijaribu kuni-manipulate mimi. Endelea na hao hao mapopomaa unaowahudimia lakini nakuhakikishia watu wenye akili huwapati.
 
Umenena kweli, huyu @ewkonzo au Eliya Konzo aliteleza
 
Kweli naomba radhi ni kweli kama kuna option ya kutokulipa watu wengi wataifata hiyo
 

Kua na upeo mdogo ni jambo la kawaida, unaweza ukawa umesomea udocta ila upeo wako kwenye tehama ukawa mdogo kwaiyo usihisisi hata kwa sekunde kuwa nimekutusi.

Kingine ufahamu usio wa kweli kuhusina na hii huduma hutaki kuusema wazi ila unautumia kutoa kauli tata. Ambazo japokua wewe umeamua kutochukua unawapotosha wengine , Mimi nipo tayari kutengua kauli kuhusu upeo wako mdogo kwenye hili ukijibu swali lolote kati ya haya.
  • unaelewa nini mpaka sasahivi kuhusu huu?
  • wapi unahisi kuna upigaji?
  • maana ya neno ya API?
  • Time will tell what na to whom?
Huna haja ya kutoa jibu sahihi ukijibu tu mimi natengua kauli sababu walau nitajua unachanganya nini.
 
Enjoy your day!
 
Nakumbiaje.... wewe endelea kuishi ''kijanja janja'' kuna siku utakumbuka ninachokuambia hapa.
 
Nakumbiaje.... wewe endelea kuishi ''kijanja janja'' kuna siku utakumbuka ninachokuambia hapa.
Ambwene Konzo Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria.. VFD zote zinatolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa mujibu wa sheria.
 
Enjoy easy money from fools!
Ila we jamaa huwa unachekesha sana. Mtu akipitia posts zako ataona. Mtu fulani unajiona unajua kila kitu, yaani wengine hawajui ila ni wewe tu.

Utawabeza na kuwaita kila majina. Utakosoa kila kitu na kila mahali. Huwa huna jema ndugu. Hili ni tatizo. Yawezekana hujui ila una tatizo la kulifanyia kazi.

That being said, I earn legitimate and legal income. If you think smart people who pay for satisfactory service rendered to them are fools and that hard earned money is easy, you might want to check with Milembe Hospital. They might have a patient in you.

Sorry, but just hard truth. Your subsequent replies are hereby ignored. Enjoy your stay in my ignore list!
 
https://www.facebook.com/
AMBWENE KONZO LIMITED inakuwezesha kutumia vfd yako ya bure toka TRA kwenye simu,kompyuta,pos au kuunga na mfumo wako ulionao kwa ghrama ndogo ya elfu hamsini tu za kitanzania kwa mwaka mzima. Huna haja ya kununua mashine.


VFD zote hazifanyi kazi sawa hakikisha unachukua kwetu!!

Baki umearifiwa tufate kwenye Wavuti, Instagram, Facebook na Twitter

Biti la ottrack.
 


AMBWENE KONZO LIMITED inakuwezesha kutumia vfd yako ya bure toka TRA kwenye simu,kompyuta,pos au kuunga na mfumo wako ulionao kwa ghrama ndogo ya elfu hamsini tu za kitanzania kwa mwaka mzima. Huna haja ya kununua mashine.


VFD zote hazifanyi kazi sawa hakikisha unachukua kwetu!!

Baki umearifiwa tufate kwenye Wavuti, Instagram, Facebook na Twitter

Biti la ottrack.
 
Sikiliza Biti kali sana toka kwa Otrack huku unajifunza kutoa risiti.....
Kazi na Dawa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…