Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Ok basi tambua huyo naye ni binadamu ana ndugu jamaa na marafiki ambao wote anawasiliana nao na wengine ni kwa muda maalumMkuu sio black list ni muda fulani wa dakika kazaa

Hii wataalam tunasema...Hodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja
Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?
Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu
Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?
Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Kwani mkuu huyo binti siyo bikira?Hodi wana jamvi,

HaswaaKwani mkuu huyo binti siyo bikira?
Saa 5 usiku?nduguOk basi tambua huyo naye ni binadamu ana ndugu jamaa na marafiki ambao wote anawasiliana nao na wengine ni kwa muda maalum
Najaribu kuvaa viatu vyako naona jinsi unapambania husiano ila usichokijua punguza wivu alafu tafuta pesa mpenzi atakukuta mwenyewe kwenye lineHodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja
Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?
Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu
Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?
Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Kwa nn unataka kuoa mke wa mtu?Hodi wana jamvi,

Kila siku?Hapo ujue hamna mke.kama ulikuwa na mpango wa kumuoa achana naye kimyakimya.Kikawaida kama anakupenda ikitokea umempigia na ikawa inatumika muda kuanzia saa nne usiku na kuendelea lazima akate na akusikilize wewe yofauti na hapo piga chini
Mkuu kwa kukosa kwako usingizi, na kuja na hoja hizi kwenye jukwaa hili ni dhahiri kwamba una mpenda huyo kiumbe.Kwa nn unataka kuoa mke wa mtu?
Acha kumdanganya mwenzako. Dogo ana demu mzuri na anampenda sana sema dogo ana wenge tu.Mkuu kwa kukosa kwako usingizi, na kuja na hoja hizi kwenye jukwaa hili ni dhahiri kwamba una mpenda huyo kiumbe.
Ila bila kupepesa macho huyo binti ana mpenzi wake na wanapenda sana lilia kumuoa at your own risk. Hakikisha kama mwanaume kinacho sumbua akili zako ni pesa ukiwa na pesa hao wanawake watakupigia wenyewe tena usiku kucha sasa wewe endelea kujipigisha simu usiku utalia vibaya.
Safi sanaMkuu kwa kukosa kwako usingizi, na kuja na hoja hizi kwenye jukwaa hili ni dhahiri kwamba una mpenda huyo kiumbe.
Ila bila kupepesa macho huyo binti ana mpenzi wake na wanapenda sana lilia kumuoa at your own risk. Hakikisha kama mwanaume kinacho sumbua akili zako ni pesa ukiwa na pesa hao wanawake watakupigia wenyewe tena usiku kucha sasa wewe endelea kujipigisha simu usiku utalia vibaya.
Sawa mkuuAcha kumdanganya mwenzako. Dogo ana demu mzuri na anampenda sana sema dogo ana wenge tu.
Mm tena?Mkuu kwa kukosa kwako usingizi, na kuja na hoja hizi kwenye jukwaa hili ni dhahiri kwamba una mpenda huyo kiumbe.