Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

Mshirikishe kwanza, umsikie anasemeje, sababu atayo kupa litakia jibu sahihi kabla ya ushauri humu, mana hujasema ye kakwambia anakia wapo na ana Fanya Nini? akujibu kwanza yeye ndo uje humu na jibu ulopewa inakua simpoo zaidi ya hapo, tunabashiri tu bila kujua tatizo
SAhihi
 
Ukimuoa utampangia sheria zako,lakini sasa ni wa wote. Ukimchunguza sana bata...... Wewe muoe mkuu usimuache eti kisa 'anaongea sana na simu usiku' ukishamuweka ndani nyang'anya simu,muwekee sheria zako la sivyo hutaoa maana wanawake hasa mabinti wapo hali moja.
Km una hoja vileee,
 
Kumbe ndio wewe na ukamwambia "fute namba yako na sitakupigia tena" Acha mawenge na upuuzi dogo. Leeni watoto wenu wawili wazuri akina............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo demu anakupenda sana na huwa analalamikaga sana kuhusu tabia zako ikiwemo kugombana kwenu kila siku huku mmeshazaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hodi wana jamvi,

Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji

Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja

Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?

Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu

Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?

Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Unatoa mahari au mahali?Usikonde huwa anaongea na nduguze.
 
Oya achana nae huyo atakusumbua huko mbeleni na ninakuhakikishia anaongea na jamaa yake ilishawahi nitokea
 
Back
Top Bottom