G
guest-1787677352
Guest
Acha wenge. Leeni watoto wenu wazuri na Acha kumuumiza B...... wako.Sawa mkuu

Hodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja
Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?
Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu
Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?
Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Mkuu hayanaga shule aya mavitu,wewe na uzoefu wako ipo siku utaingizwa chaka hutoamini,mzee wangu poti mstaafu na uhuni wake wa kisoldier baada ya kustaafu akapewa pensheni akaenda kukabizi yote kwa nesi wa mkoa mmoja wakajenga nyumba poti wangu pamoja na uwezo mkubwa wa kimedani na akili ya kumjua adui popote ila alipata shukurani ya kutupiwa nje Rambo zake na kulogwa kidogo afe,MTINDO WA NYIE WANAWAKE KUWA KWENYE MAHUSIANO UMESHAMIRI SANA. UNGEKUWA MWANAUME USINGEKUJA NA HUU UZI JF
Sisi tumesha maliza labda nyongeza cha kukushauri kama alivyoshauriwa polepole na mzee butiku sikiliza dhamiri yako AsanteNyongeza tu mimi kujiamini hivi viumbe hua ni nadra sana tatizo hili manzi ilinitongoza yenyewe ikaapa nisiiache kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe huyu ndio mwanamke pekee amewai kumlilia(kutoa machozi mara 4) akiomba nisimuache mbaya zaidi ni mtu wa maombi sana yaani kusali ni mguu na kiatu,kwa mkurungwa kama mm pic ya kanisani kunililia live mala 4 niliona kama zawadi
Mbaya zaidi ilichumbiwa na mtu mmoja mwenye hela ilikataa siku ya kutolewa mahali ilikuja geto kuchili nikaiamini kuanzia hapo,mdau nikasema mke si huyu
Sasa tuhutu tupicha picha twa kuongea na simu kunamda nataka nipige chini mm sipendagi maigizo
Shida naweza fanya uamuzi wa kitibeli usio na uthibitisho nikaja kujua nilikurupuka,
Maamuzi ya kitibeli niliwahi kuyafanya mwaka jana kuja kujua nilikurupuka
Ndio maana nimeleta kwenu wakongwe wa MMU
ivi kuna watu bado mnateswa na MapenziHodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja
Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?
Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu
Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?
Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Hayanaga shule wala ujuaji hua swala la mda tuivi kuna watu bado mnateswa na Mapenzi
Dhamiri ndio niniSisi tumesha maliza labda nyongeza cha kukushauri kama alivyoshauriwa polepole na mzee butiku sikiliza dhamiri yako Asante
We mgonjwa ni mjuaji sanaDhamiri ndio nini
Kivp mkuuWe mgonjwa ni mjuaji sana
Simu atumie hata saa tisa za usiku mi kwangu wala sijali as long as najua tunapendana na tunaaminiana. Kwanini niumize kichwa kufuatilia simu zake zinapigwa saa ngapi? Noooo!!Hodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja
Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?
Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu
Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?
Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Good ushauriSimu atumie hata saa tisa za usiku mi kwangu wala sijali as long as najua tunapendana na tunaaminiana. Kwanini niumize kichwa kufuatilia simu zake zinapigwa saa ngapi? Noooo!!
Acha kujali sana vitu vidogo, unajali sana vitu vidogo wewe na vitakuchanganya Tu.
Asikwambie mtu 90%Kwenye mahusiano mengi watu wanateseka aisee 😁
Sio tu simu kumnunulia nimemtaftia had kazi serikalini +biashara unazani stress hua zinatoka wapkwenye andiko lako sijaona ukidai simu anayotumia umemnunulia nijuavyo mimi inabidi umnunulie anayotumia arudishe alikoitoa au auze
Heeeee, unasema kweli au unachangamsha genge humu MarkomxSio tu simu kumnunulia nimemtaftia had kazi serikalini +biashara unazani stress hua zinatoka wap
GreatGood ushauri