Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

Heeeee, unasema kweli au unachangamsha genge humu Markomx
Mkuu ukiona mtu ana hasira jua kunakitu,nilichojifunza punguza kujifanya wewe ndio msaada sana some time mtu akiwa maskini inakua rahisi kumtawala
 
Hodi wana jamvi,

Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji

Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja

Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?

Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu

Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?

Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Bora kutauta pesa kama ndo hivo.
 
nilikua na huu mtindo wa kuongea na simu usiku na mashost zangu maana mchana tunakuwa na heka heka (japo sio kila siku) nikapewa warning moja na Edo kissy niliacha wan taim 🤭🙃,,,

fanya kumuelekeza mwambie haupendezwi na yeye kutumika usiku kwa mda mrefu,, kama anakuheshimu ataacha ila kama unaforce hautoona mabadiliko kutoka kwake
 
Submissive one🫥
Nipigie mda huu chap🤭🙌🏾
 
Hodi wana jamvi,

Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji

Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana biashara za kuagizwa na wateja

Ila kunamda simu inatumika hadi saa 5 usiku unajiuliza,Hii simu ni ndugu gani wa kupiga usiku tu?

Najua Hii hali imenisumbua muda mrefu majibu ninayo ila nataka nanyinyi wakuu mnipe uzoefu

Hii hali hua mnaichukuliaje wakuu ukikuta mtu wako awe mwanamme au mwanamke kunamida simu yake inakua Bize muda wa kulala hua mnaitafsiri vipi?

Kifupi japo nakaribia kutoa mahali huu mchongo nataka kupiga chini .kupitia hizi simu sijawahi muamini kiumbe eva,japo hatujawahi suguana kesi nyingine zaidi ya simu za usiku
Kubabake AMKA USINGIZINI MKUU,

KWAMBA MAPENZI NI UFALA KIASI HIKI🤣🤣🤣🤣

WACHA MUUMIZWE TU, MANIGGA
 
Jibu ulilonalo laweza kuwa sahihi kwa %kubwa.

Milango ya fahamu ya mwanadamu ni zaidi ya masikio na macho.

Binadamu macho yetu na masikio yetu ni mafupi, ni rahisi kukingwa kwa hadaa.

Lakini mlango wa hisia na ufahamu, waweza kuona vizuri zaidi ya macho makavu.

Haujasikia: 'watu kuolewa ili kuondoa mikosi'?

Ama: 'ndoa ya hawara huwa haivunjiki' na misemo mingineyo kama hiyo?

Wewe sijui umewekwa katika hadhi gani katika group aliloliunda moyoni mwake.

Maana mnaweza kuwa wengi lakini wewe ukapewa hadhi ya juu sana lakini hadhi hiyo haikuzuii kuyajua yaliyopo nyuma ya pazia kutokana na hisia na ufahamu uliopewa.

'Tuishi nao kwa akili', uamzi ni wako mkuu.
Kataa kuwa option
 
Mshirikishe kwanza, umsikie anasemeje, sababu atayo kupa litakia jibu sahihi kabla ya ushauri humu, mana hujasema ye kakwambia anakia wapo na ana Fanya Nini? akujibu kwanza yeye ndo uje humu na jibu ulopewa inakua simpoo zaidi ya hapo, tunabashiri tu bila kujua tatizo
 
Back
Top Bottom