Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

Hii wataalam tunasema...
Namba unayopiga kwa Sasa umepigwa!!!
 
Kwani mkuu huyo binti siyo bikira?
 
Najaribu kuvaa viatu vyako naona jinsi unapambania husiano ila usichokijua punguza wivu alafu tafuta pesa mpenzi atakukuta mwenyewe kwenye line
 
Apa mnasheya zal na wahuni apo jombie tafuta tu mwingine maana apo hamna kt jombie
 
Kwa nn unataka kuoa mke wa mtu?
 
Hapo ujue hamna mke.kama ulikuwa na mpango wa kumuoa achana naye kimyakimya.Kikawaida kama anakupenda ikitokea umempigia na ikawa inatumika muda kuanzia saa nne usiku na kuendelea lazima akate na akusikilize wewe yofauti na hapo piga chini
Kila siku?
 
Kwa nn unataka kuoa mke wa mtu?
Mkuu kwa kukosa kwako usingizi, na kuja na hoja hizi kwenye jukwaa hili ni dhahiri kwamba una mpenda huyo kiumbe.
Ila bila kupepesa macho huyo binti ana mpenzi wake na wanapenda sana lilia kumuoa at your own risk. Hakikisha kama mwanaume kinacho sumbua akili zako ni pesa ukiwa na pesa hao wanawake watakupigia wenyewe tena usiku kucha sasa wewe endelea kujipigisha simu usiku utalia vibaya.
 
Kumbe ndio wewe na ukamwambia "fute namba yako na sitakupigia tena" Acha mawenge na upuuzi dogo. Leeni watoto wenu wawili wazuri akina............πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyo demu anakupenda sana na huwa analalamikaga sana kuhusu tabia zako ikiwemo kugombana kwenu kila siku huku mmeshazaa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kumdanganya mwenzako. Dogo ana demu mzuri na anampenda sana sema dogo ana wenge tu.
 
Safi sana
 
Mm tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…