sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine, kuongea hadi mkutane sehem flani, n.k haya mambo yalikuwa yanafanya mjuane sana zaidi na zaidi.
Siku hizi hali imebadilika sana, kijana atamfata binti na kuomba namba saa 2 asubuhi, si ajabu penzi likaanza saa 6 mchana, jioni watafanya mapenzi na usiku penzi likawa limeisha.