sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Imeletwa hadi mitandao maalum ya ku date lakini kuna watu bado wanalalamikaMambo yamekuwa rahisi na mepesi kama unyoya wa kuku
Zipo za kutosha,Mkuu tutafute pesa
Mkuu nigaie kiasi basizipo za kutosha,
mtoto wa kiume wewe utapigwa nyanya ukose marinda kisa kuomba ombaMkuu nigaie kiasi basi
Mi wakikemtoto wa kiume wewe utapigwa nyanya ukose marinda kisa kuomba omba
Sio simu, ila watumiaji wakeKwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine, kuongea hadi mkutane sehem flani, n.k haya mambo yalikuwa yanafanya mjuane sana zaidi na zaidi,
Siku hizi hali imebadilika sana, kijana atamfata binti na kuomba namba saa 23 asubuhi, si ajabu penzi likaanza saa 6 mchana, jioni watafanya mapenzi na usiku penzi likawa limeisha.....
Tuanze mahusiano sahii jioni yafeMi wakike
Ukahaba, uchangudoa, umalaya( prostitution) umekuwa rahisi sana siyo sababu ya simu. Ila usiokuwa na mipaka siku hz kuuza ngono imekuwa sifa mtu anajisifu anadanga? anakula vichwa,anachuna mabuzi etc etc na serikali na jamii hawachukui hatua kwa kisingizio cha haki za binadamu. Simu hazina uhusiano na mwanamke kutongozwa asubuhi na kutoa ngono mchana siku hiyo hiyo ni kushamiri kwa umalaya tu.Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine, kuongea hadi mkutane sehem flani, n.k haya mambo yalikuwa yanafanya mjuane sana zaidi na zaidi,
Siku hizi hali imebadilika sana, kijana atamfata binti na kuomba namba saa 23 asubuhi, si ajabu penzi likaanza saa 6 mchana, jioni watafanya mapenzi na usiku penzi likawa limeisha.....
PoaTuanze mahusiano sahii jioni yafe
Mkuu mi dume.Tuanze mahusiano sahii jioni yafe
Marinda yakipotea huwezi kuyapata hata uende dubaiMi wakike