SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

Asante sana. Niliwahi kusema jambo hili kwa fikra zingine ila ndugu umelileta katika uhalisia ambao unaendelea kuwa practised marekani na nchi zilizpendelea

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Kasome vitabu vya Joseph Murphy vitakusaidia sana
 
Duuu mwamba upo vizuri nafurahi kuona kumbe hapa bongo tupo wengi tunaijua hii siri,
nina ushuhuda wa hii kitu broo ni hatari nilikuja kujua kumbe hakuna kitu siwezi kufanya
kwenye hii dunia tena ndani ya muda mfupi tu,
kiukweli ukiijua kweli juu ya kanuni za ulimwengu unakua master of everything!
 
Toa elimu kidogo kuhusu hizo kanuni
 
Wakuu naomba jina la kutabu tafadhali,
Incase kuna mtu amekipata
 
Acha porojo dhibitisha umefanya nn mpaka sasa Kwa hzo theory za kufikiria.!!!
 
Acha porojo dhibitisha umefanya nn mpaka sasa Kwa hzo theory za kufikiria.!!!

Acha porojo dhibitisha umefanya nn mpaka sasa Kwa hzo theory za kufikiria.!!

Acha porojo dhibitisha umefanya nn mpaka sasa Kwa hzo theory za kufikiria.!!!
Nisipo thibitisha itabadilisha ukweli kwamba kuna makubwa nafanya?

porojo na theory za kufikiria zinanifanya nikuone umeshindwa kufikiria ya kwamba
hata ulivyofikiria ya kwamba hizi ni porojo na theory za kufikiria,
tayari ushaingia kwenye kufikiria na haiwi tena kufikiria ila ni kujenga picha ya porojo
iwe kwenye uhalisia!

twende taratibu umeelewa hapo juu niendelee mkuu?
 

Motivation speaker...
 
Motivation speaker...
kama rahisi kua motivation speaker jaribu mkuu,
utakusanya raia kibao utakao wafanya kua mateka wako then utapiga hela sana!

nguvu ipo ndani yako ukiitumia vyema utafanikiwa kwa lolote unalofanya

stage 1: Anza kujengengea picha kitu unachotaka

stage 2: Weka nia kwa hilo jambo ya kwamba lazima litafanikiwa tu

stage 3 : Anza kulitamka mara kwa mara wakati huo ukili connect na stage no 1

endelea hivyo kulingana na muda uliojiwekea wa lengo kutimia iwe wiki,mwezi na mwaka

utaanza kuona nguvu chanya!
 
fine..tupe ushuhuda ww Kwa hyo formula umefanikisha nn na nn?
 
fine..tupe ushuhuda ww Kwa hyo formula umefanikisha nn na nn?
nimefanikiwa kumrudisha Mchumba wangu wa muda mrefu maana kuna kipindi nilizingua sana nikampoteza,
ilichukua week tu nilijaribu kumpigia kama ex tu nimsabahi halloo haikupita dk tano storry zikabadilika
tuna miezi mitano sasa kila siku ni non stop sms and phones amesha chagua mpaka majina ya watoto yani
kingine siwezi andika hapa wahuni wataunganisha dot nitakua verified maana kuna project naandaa itanifanya niwe famous world wide maana ni kazi ya Sanaa ikitiki nitakutafuta secret ushuhudie!
 
Habari!mwenye kujua vitabu vizuri vya namna hii naomba atume hata majina tu tafute.

Nawasilisha!
 
fine..!!!at least una evidence but hayo mamb ni complicated sana...
 
Mwamba endeleza mada weka na vitabu vingine unavyojua sisi tukasome.
 
Following contries to the are true...

¡.Man has no body distinct from his soul.

¡¡.Energy is the only life and is from the body.

¡¡¡."Energy is eternal delight"

"One thought fills immensity"
[emoji359]
 
Hapo kwenye kukifuta ulifeli sana, me nna kitabu kinaelezea namna ya kupractice all the witchcraft around the world, nacho kimekaa km academic paper, nlikisoma kidogo then nkaamua kuachana nacho ila skukifuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…