SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

Nafikiri Kwanza ungetutajia title ya hiko kitabu tukutafute
 
1)MTAZAMO WAKE KUHUSU UWEPO WA MUNGU NA DINI.
Huyu jamaa yeye anaamini uwepo wa Dao au Tao. Hii ni njia/way ya maisha ambayo ndio inaendesha kila kitu duniani. Haielezeki na haionekani na haishikiki. Kwa maana nyingine kwenye hizi dini utasema ndio Mungu. Kuna msemo kwenye Taoism unasema "The Dao that can be explained is not eternal Dao" Hii inamaanisha chanzo na kiendeshi (Dao au tuseme Mungu au Nguvu Kuu) haielezeki wala haishikiki, na ukiweza tu kuielezea basi inakua sio tena Dao. Yaani kama wewe ni mkristu na ukiweza kumwelezea namna Mungu wako alivyo au anachotaka basi huyo sio Mungu tena, same kwa dini zote. Anasema kwamba kitu kikubwa duniani ni ku-align na nature wala sio kufuata written rules & dogma, yaan kufuata natural order. Kuna energy fln ambayo ipo kwenye nature, hio inaitwa nascent energy. Wachache wanaweza kuiabsorb kutoka kwenye nature. Ukiwa na hio energy unaweza kufanya baadhi ya mambo na hata ukaweza control fikra za wengine(viumbe, wanyama au roho zilizopo kwenye nature) . Kuna practices nlizokua nasemea ndizo zinahusika hapa ili kuvuta na ku-absorb hio energy. Sasa ukishapata hio energy na ukaweza kui-control na kui-manipulate ndipo utaweza kuwa na uwezo fln ambao baadhi hawana. Wengine wamezaliwa na kiasi kadhaa cha hio energy na ndo hawa unakuta wana extra-ordinary talents au wanaweza kuongea na spirits etc...........
kali linux;
Nimesoma maelezo yako yote hapa chini kwa umakini kiasi, japo siyo sana. Ninachoweza kusema ni kwamba you are very intelligent; and you are almost there. You are about to "crack the rarely cracked code", kitu ambacho mimi nilifanikiwa kufanya baada ya mizunguko mingi sana ya hapa na pale.

Hata mimi pia hapa nilipo nimetokea huko kama ulivyoeleza kwenye maelezo yako hapa. Niliwahi kuwa na rafiki yangu Profesa wa Uhloanzi na tuliwahi kufanya mambo yanayofanana na haya uliyoelezea hapa wewe

Kwenye maelezo yako hapa, umeandika vizuri kabisa na nimefurahi mno ulipokiri kuwa huwezi kumwelezea Mungu. Hata hivyo unaweza kumtafuta Mungu, na alishatengeneza mazingira tayari ambayo tunaweza kumtafuta kwa sababu na yeye pia huwa anatutafuta muda wote wa maisha yetu tunapokuwa tunaishi hapa duniani.
Kama ambavyo huwezi kumwelezea Mungu na kama ukifanya basi huyo atakuwa Mungu, vile vile huwezi ukashindwa kumtafuta Mungu na kama ukishindwa kumtafuta (assuming ni yeye anashindikana kutafutwa) basi atakuwa siyo Mungu. Mungu lazima anakuwa ametengeneza pia njia ambayo watu wanaweza kuitumia kumtafuta

Unaposema kuwa ili uweze kuishi in harmony na mazingira yako, unatakiwa uji-align na nature; hapo inamaanisha kuwa kuna nguvu nyuma yako ambayo huwa inakuhitaji uwe katika mazingira ambayo itaweza kuku-access; na wewe vile vile kuweza kufanya hivyo; na hizi ndiyo sasa njia pekee za kuweza kujiunganisha na Mungu tunapokuwa tukimtafuta na yeye napokuwa anatutafuta sisi vile vile. Hatujiunganishi na Mungu ili tuweze kumwelewa alivyo na kuweza kumwelezea, hapana. Tunajiunganisha na Mungu ili tuweze kumtafuta; kitu ambacho hatuwezi kukifanya pasipo ya kuwa tumekuwa na maelezo BASIC kuhusu yeye kama vile UWEPO WAKE, UWEZO WAKE, MALENGO YA UWEPO WAKE, n.k.

Kwa hiyo naomba utofautishe sana baina ya kumwelezea Mungu na kumtafuta Mungu.

Maandiko mMatakatifu ya Biblia, yanathibitisha kuwa Mungu ni WA MILELE, HANA MWANZO NA WALA HANA MWISHO. Kitendo tu cha Mungu kuwa hana Mwanzo wala mwisho,hakielezeki. Hapo tayari inaonyesha kuwa Mungu haelezeki, sawa kabisa na ulivyoandika kwenye maelezo yako (Soma Waebrania 7:3)

Tatizo kubwa nililoliona kwenye maelezo yako ni kuchanganya EMPERICAL SCIENCE TOOLS na SPRITUAL SCIENCE TOOLS, hasa ulipokuwa unaoengelea maswala ya ENERGY.

Kwenye Biblia kitu ENERGY/ POWER hiki kinaendana na fungu la kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume (Mdo 1:8) na kwenye version ya kingereza, hicho ulichokisema kuwa ni ENERGY, Biblia inaki-refer kama POWER na huyo ni ROHO MTAKATIFU (RM) ambaye ndiye Mungu kwenye nafsi ya tatu. Mbali na hivyo, tofauti na namna sisi tulivyo NATURE yetu sisi ni nafsi moja (na huwezi ukahoji hili kwa nini tuna nafsi moja), ASILI YA Mungu yeye ana nafsi tatu; kitu ambacho nacho ni kama hakielezeki

Kwa hiyo kwa kifupi naweza kusema kuwa naturally watu wote tulizaliwa na uwezo wa kumtumia RM ila hiyo extent ya kumtumia ndiyo ile inayotofatiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. THE MORE YOU ALIGN YOURSELF WITH GOD, THE MORE PRONOUNCED IS THE POWER OF THE HOLY SPRIT IN YOU.

Kwa mfano, kitendo cha wewe kuwa ulikuwa umesimama pembezoni mwa ukuta wa nyumba mahali fulani, halafu ghafula roho yako ikakustua na kukutaka utoke mahali hapo; na mara tu baada ya kuwa uumetoka, likadodndoka pale tofali kubwa ambalo lingeweza kukuua; hiyo ndiyo SPRITUAL POWER ambayo Biblia inaitamka kwenye Mdo 1:8. "POWER" ya aina hii haiko MEASURABLE kwenye PHYSICAL REALM na hivyo it cannot be explained using EMPERICAL SCIENCE

Kwa waliosoma PHYSICS:
POWER is the RATE of doing work; ENERGY "is the CAPACITYy to do work"
Hizi ni definitons za quantities hizi ambazo zina-apply kwenye PHYSICAL WORLD na si kwenye SPRITUAL WORLD pia

Nilichokiona kwenye maelezo yako na ambacho kinakuletea shida wewe pamoja na huyu GURU wetu, ni confusion ya ku-apply definitions za kwenye EMPERICAL SCIENCE, kwa kuzihalalisha kwenye SPRITUAL WORLD pia kisa tu kwenye SCIENCE ZOTE HIZI MBILI zinatumia majina yanayofanana (DIFFERENT SCIENCES, SAME NOMENCLATURE)

Kwa maelezo ya ufasaha zaidi ni kwamba ENERGY/ POWER kwenye EMPERICAL SIENCE ni physical quantities na hivyo zinaweza kuwa measured au explained by using PHYSICAL INSTRUMENTS whereas, the same IS NOT TRUE kwenye SPRITUAL REALM.

Nikipata nafasi nitakurudia tena; naomba swali au hoja, kama vipo.

Tatizo tulilonalo ni kwamba makanisa yetu yalishavamiwa, lakini kwa Afrika bado angalau tuna kitu kikubwa sana kwenye ulimwengu wa roho ukilinganisha na wenzetu Western ambao wengi wao wako taabani kabisa na possibly wengine tayari wapo kaburini kabisa!
 
Okay mkuu comment yako imenipa mood ya kuzidi kudiscuss hili jambo japo sikutaka kuendelea kuongelea coz kwa umuhimu na uzito wa jambo hili Moderator kuuweka uzi huu jukwaa la entertainment badala ya intelligence inaleta picha mbovu sana kwangu.

Vile vile kama umesoma vzr andiko langu la mwanzo utagundua kuna mahala nimesema haya nloandika ni machache saaana ukilinganisha na nlichodiscuss na kufundishwa na hao guru wawili. Lakini kwa kuwa umeongea baadhi ya vitu hapa ntajaribu kuelezea wao (hasa yule Guru wa kwanza) anasemaje khs hayo mambo uloongelea.

Nilichokiona kwenye maelezo yako na ambacho kinakuletea shida wewe pamoja na huyu GURU wetu, ni confusion ya ku-apply definitions za kwenye EMPERICAL SCIENCE, kwa kuzihalalisha kwenye SPRITUAL WORLD pia kisa tu kwenye SCIENCE ZOTE HIZI MBILI zinatumia majina yanayofanana (DIFFERENT SCIENCES, SAME NOMENCLATURE)
Kwanza kiufupi Empirical Science na spiritual world ni vitu ambavyo vina uhusiano mkubwa sana, bila spiritual world tusingekua na empirical science. Sasa kwa kuwa zinahusiana lazima kuna term zinazoingiliana coz spiritual world manifests itself using empirical science. Albert Einstein aliwahi kusema kwamba "Science without religion is lame, religion without science is blind.", huyo alikua ni kati ya watu walodedicate maisha yao kufuatilia kuhusu universe na energy. So sio kwamba nakukosoa lkn from my POV ni kwamba hizi terms zinaingiliana kwa sababu deep down Spiritual world ndio imetengeneza empirical science

Kwa hiyo kwa kifupi naweza kusema kuwa naturally watu wote tulizaliwa na uwezo wa kumtumia RM ila hiyo extent ya kumtumia ndiyo ile inayotofatiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. THE MORE YOU ALIGN YOURSELF WITH GOD, THE MORE PRONOUNCED IS THE POWER OF THE HOLY SPRIT IN YOU.
Ukisoma maelezo yangu nimeongelea hilo pia. Tofauti yangu na wewe ni kwamba hapa wewe umeenda specifically kwa Roho Mtakatifu. Ukimuelezea hivo muislam au buddhist hatokuelewa lkn mie nmetumia General term kwamba hio nguvu kuna wanaozaliwa nayo na wengine wanaipata in course of life. Kwenye christianity ndipo watasema mtu kazaliwa akiwa na Roho Mtakatifu.

Ukiangalia kabisa kwenye biblia kitabu cha mwanzo inasema kwamba "Hapo mwanzo alikuwepo Neno......" Huo mstari unatosha kabisa kukwambia kuna Nguvu inayoendesha kila kitu duniani na inajidhihirisha kwa namna nyingi sana kwenye physical world. Biblia imeamua kuiita hio nguvu Neno wa Bwana(Baadae ndo inakuja tambulika kama Roho Mtakatifu), Lakini ukienda kwa wachina watakwambia hio ni Chi, ukienda kwa waganga watakwambia huo ni uchawi, ukienda kwenye cults tofauti tofauti utakuta definitions nyingi sana za hiohio Nguvu kwa namna wanayoona inafaa. Na ukija kwenye physics utaambiwa hio ni Energy from nature ambayo haiwezi tengenezeka wala kuharibiwa "Energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another" Kwa walosoma physics form 2 watakumbuka hilo.
 
Okay mkuu comment yako imenipa mood ya kuzidi kudiscuss hili jambo japo sikutaka kuendelea kuongelea coz kwa umuhimu na uzito wa jambo hili Moderator kuuweka uzi huu jukwaa la entertainment badala ya intelligence inaleta picha mbovu sana kwangu.

Vile vile kama umesoma vzr andiko langu la mwanzo utagundua kuna mahala nimesema haya nloandika ni machache saaana ukilinganisha na nlichodiscuss na kufundishwa na hao guru wawili. Lakini kwa kuwa umeongea baadhi ya vitu hapa ntajaribu kuelezea wao (hasa yule Guru wa kwanza) anasemaje khs hayo mambo uloongelea.

Kwanza kiufupi Empirical Science na spiritual world ni vitu ambavyo vina uhusiano mkubwa sana, bila spiritual world tusingekua na empirical science. Sasa kwa kuwa zinahusiana lazima kuna term zinazoingiliana coz spiritual world manifests itself using empirical science. Albert Einstein aliwahi kusema kwamba "Science without religion is lame, religion without science is blind.", huyo alikua ni kati ya watu walodedicate maisha yao kufuatilia kuhusu universe na energy. So sio kwamba nakukosoa lkn from my POV ni kwamba hizi terms zinaingiliana kwa sababu deep down Spiritual world ndio imetengeneza empirical science

Ukisoma maelezo yangu nimeongelea hilo pia. Tofauti yangu na wewe ni kwamba hapa wewe umeenda specifically kwa Roho Mtakatifu. Ukimuelezea hivo muislam au buddhist hatokuelewa lkn mie nmetumia General term kwamba hio nguvu kuna wanaozaliwa nayo na wengine wanaipata in course of life. Kwenye christianity ndipo watasema mtu kazaliwa akiwa na Roho Mtakatifu.

Ukiangalia kabisa kwenye biblia kitabu cha mwanzo inasema kwamba "Hapo mwanzo alikuwepo Neno......" Huo mstari unatosha kabisa kukwambia kuna Nguvu inayoendesha kila kitu duniani na inajidhihirisha kwa namna nyingi sana kwenye physical world. Biblia imeamua kuiita hio nguvu Neno wa Bwana(Baadae ndo inakuja tambulika kama Roho Mtakatifu), Lakini ukienda kwa wachina watakwambia hio ni Chi, ukienda kwa waganga watakwambia huo ni uchawi, ukienda kwenye cults tofauti tofauti utakuta definitions nyingi sana za hiohio Nguvu kwa namna wanayoona inafaa. Na ukija kwenye physics utaambiwa hio ni Energy from nature ambayo haiwezi tengenezeka wala kuharibiwa "Energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another" Kwa walosoma physics form 2 watakumbuka hilo.
Unachoongelea hapa ni manifestations za Roho Mtakatifu ndani ya kila kiumbe isipokuwa katika level tofauti kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Ndiyo maana watu huwa wanafikia hatua wanasema "machale"

Lack of proper knowledge kuhusiana na RM ndiyo hicho kinachopelekea majina mengi kuwepo na Mungu kuitwa kwa majina tofauti tofauti kutoka imani moja kwenda nyingine.
DINI na SPRITUALITY ni vitu viwili vina uhusiano lakini pia vina utofautii. DINI ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu; SPRITUALITY ni njia ambayo Mungu aliiweka ili tuweze kuitumia kujiunganisha naye. Si lazima kila dini iwe ime-conform kwenye njia ile aliyoiweka Mungu kwa ajili ya sisi kumtafuta yeye. Einstein alikuwa anaonelea dini; alikuwa haongelei sprituality
Utafakari vizuri mfano wangu hapo juu unaoongelea kitu kilichododndoka sehemu pale mtu alipokuwepo.
Essence ya mwanadamu kuwepo duniani ni ili amwabudu Mungu. Whether anamwabudu Mungu yule wa kweli ama la, hilo sasa ni swala jingine. Whether Budha anajua maana ya RM ama la, hilo ni swala jingine. RM ana uwezo wa ku-manifest kwa kiwango stahiki kwa mtu yeyote yule bila kujali imani yake
 
DINI na SPRITUALITY ni vitu viwili vina uhusiano lakini pia vina utofautii. DINI ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu; SPRITUALITY ni njia ambayo Mungu aliiweka ili tuweze kuitumia kujiunganisha naye. Si lazima kila dini iwe ime-conform kwenye njia ile aliyoiweka Mungu kwa ajili ya sisi kumtafuta yeye. Einstein alikuwa anaonelea dini; alikuwa haongelei sprituality
Ndio, Einstein aliongelea dini lkn alikua anamaanisha spirituality pia. Huwezi ongelea DINI(Religion) Bila Spirituality lkn Unaweza Ongelea Spirituality bila DINI(Religion). What is spirituality? Mie najua ni njia ya kujiunganisha na kitu chcht kile unachodhani ni kikubwa zaidi yako kwa ajili ya sababu kadhaa, kwa kiingereza ina-sound vzr kwamba "Spirituality is about seeking a meaningful connection with something bigger than yourself, which can result in positive emotions, such as peace, etc..........

Sasa Dini ni kama njia ya kutafuta hio 'Something Bigger' (Spirituality) Lakini kuna wababe ambao hawatumii Dini bali wanaenda directly na hawatumii dini. Na wengi wakifanikiwa tunaona walianza kuitwa miungu zama za zamani. Na kwa sababu hio ndio maana nikasema Huwezi ongelea dini bila spiritiality lkn unaweza ongelea spirituality bila dini. Kama sipo sahihi I stand to be corrected mkuu........, but with facts

Lack of proper knowledge kuhusiana na RM ndiyo hicho kinachopelekea majina mengi kuwepo na Mungu kuitwa kwa majina tofauti tofauti kutoka imani moja kwenda nyingine.
Kitu ambacho wewe unakosea sana pia pamoja na watu wowote waloshika dini ni kwamba wanachukulia knowledge walonayo khs Spirituality ndio sahihi kuzidi za wengine na hio ndio chanzo cha kukomaza udini na dharau kwenye jamii. Na Lengo la kuleta huu uzi ilikua ni kutoa hio wrong mindset. Kitu kingine unachokosea ni kwamba unafanya Generalization sana ya mambo, nmeshasema huwezi kumtajia muisam Roho Mtakatifu akakuelewa, lkn kwao wanae ila kwa jina jingine. So Tumia General Term na ndo maana hapa mm natumia Nguvu Kuu ambayo ndio inaendesha kila kitu na ndio chanzo cha kila kitu.

Nikirudi kwenye kuchambua hoja yako nloiquote hapo juu ni kwamba Umetumia neno la dharau kidogo hapo 'Lack of Proper Knowledge', Je una uhakika knowledge yako khs Spirituality iko sawa? Mtu wa kukurupuka atajibu 'Yes' au 'No' lkn mtu ambae kafikia level fln ya kuweza kujiweka karibu yy mwenyewe na hio Nguvu bila kupitia watu au njia nyngne atakujibu kwamba 'Hana jibu la hilo swali na hilo swali halina umuhimu kwake'.

Kwa nini atakujibu hivo kwa sababu kuna wachungaji hawawezi kumletea mtu Nguvu itakayompa mali au mvuto lkn kuna waganga wanaweza hicho kitu na bila masharti magumu sana kutokana na nature ya mtu. Kuna maombi atafanya muislamu yakafanikiwa lkn mkristu akafanya yasifanikiwe, the reverse may also be true. Sasa kwa nini uiite hio lack of proper knowledge eti kwa kuwa wewe ni mkristu bas unasema knowledge fln kwenye quran au bible sio sawa while kuna mwingine anatumia hiohio knowledge kudeliver results?

Ndo maana kwangu mm dini hazina nafasi, I'm proud with my religion kwa sababu ni culture na inanipa identification kwenye jamii pia lkn as long as spirituality is concerned I cannot be biased by it coz tayari najua kiasi fln undani wa mambo na inatosha kujiongoza mwenyewe. Mtu akifikia level niliopo hata akisikia mchungaji/mapadre wake wamefanya vitu viovu hatoathiriwa sana kimtazamo kwa sababu ukishafikia level hio unakua umejua kwamba duniani kuna principles chache tu za kufuata, ukizifuata thn hizi dini zitabaki kuwa kama culture tu lkn hazina ulazima kukufanya kuwa mtumwa wake.

Note ukiendelea kuelezea kila kitu hapa kwa kutumia Roho Mtakatifu basi utakua unazidi kupotosha lengo la uzi, with all due respect let's stick to the general terms. Narudia tena Dini zote zinapoint kitu kimoja lkn kutofahamu hilo ndipo kumeleta vita, mauji, jihads etc.... na fujo zisizo na maana
 
Pia jambo langine kila mtu alizaliwa na nguvu hiyo inayoongelewa kwa kiasi tofauti ila hupotea kutokana na Mazingira na matendo yako poah na ulaji wako,
Kuwa makini kwa kila jambo unalolifanya.
Ukiwa mzinzi sana ndio hii nguvu huisha zaidi.
Unachosema kina ukweli wake, pia sio tu uzinzi lkn roho mbaya, chuki, negativity etc.. ni kati ya vitu vinavyoweza kukuletea mikosi sana kwa sababu unapoteza nguvu ambayo otherwise ingekulinda au kukupa hisia fln hv (Kuna jamaa kaziita machale) dhidi ya mazingira hatarishi.

Universe iko guided na very simple principles na ni principles ambazo unazikuta kila mahala. Mfano Newton alisema kwenye third law kwamba "For Every Action there's Equal but opposite reaction', hio ni kwenye Physics lkn Kwenye Spirituality hio tunaiita KARMA. Na siku zote ukijifanya unaingilia kazi ya karma basi yatakayokuja yatakuchukiza. Sasa ni nini kinaweza kukusaidia kutambua hii ni kazi ya Karma au la? Hapo ndipo kuna somo khs 'Instincts' ambazo kwa kiswahili wanaita Machale. The quality of your instincts ndiyo itafanya uweze kufanya maamuzi sahihi bila kuwa na reason yyt ile. Wangapi wamewasaidia watu kwenye shida zao lkn hao walosaidiwa wakaja kuwafanyia mabaya yasoelezeka waokoaji wao? That was the price of interfering with karma's work.
 
Dah! Wengine tupo mbali sana na dunia!

Niulize swali:- kuna matukio au image fulani hua zinanitokea kiasi kwamba hua na stack kwa muda kujiuliza maswali ambayo huo sipati majibu, inakua ni kama matukio flani au mahala fulani nimesha wahi kuhudhuria kabla na kila kitu kwenye mazingira hayo kinakua sawa kabisa na mazingira ya kabla sio watu nitakao kutana nao nguo, mavazi, hata nitakayo zungumza ama kujibiwa ila huisha ghafla pale ninapo gutuka na kujiuliza maswali hua nahisi kama ni ndoto. Je hii situation ina husiana na moja ya vitu kwnye hii mada yako au hua nakutana na nini haswa!!!!?
 
Hio situation haihusiani moja kwa moja na nlichoongelea hapa lkn kama ni kweli unapatwa na hio hali jua kuna cases nyingi sana pia kama zako na nyingine za kustaajabisha zaidi. Yaan kuna baadhi ya watu wakifika maeneo fln wanaona kabisa kwenye kumbukumbu zao waliwahi kufika hapo na wengine wanaweza hadi simulia mazingira yalivyo kutokana na hio 'illusion' wanayokua wanapata akilini mwao.

Baadhi ya wataalam wanasema hio inasababishwa na kuwa na roho ya mtu aliefariki lkn aliwahi kuishi maeneo hayo, baadhi wanasema ni 'Time travel'. Kuna nadharia mbalimbali khs hio situation.
 
Kali hii mada yako ni nzuri sana..ila umeiweka kwenye code sana nadhani uliwalenga watu flani tu...waicrack then discussion iendelee kwa pattern hiyo...

Ila ambacho nakuunga mkono sana ni suala la sumaku...sumaku au magnetism au pia electromagnetism inaendesha maisha ya viumbe wengi sana walio nje ya dunia..

Cha kushangaza bado duniani hatujawekeza sana kwenye hilo somo...ni pana sana..
 
Ndio, Einstein aliongelea dini lkn alikua anamaanisha spirituality pia. Huwezi ongelea DINI(Religion) Bila Spirituality lkn Unaweza Ongelea Spirituality bila DINI(Religion). What is spirituality? Mie najua ni njia ya kujiunganisha na kitu chcht kile unachodhani ni kikubwa zaidi yako kwa ajili ya sababu kadhaa, kwa kiingereza ina-sound vzr kwamba "Spirituality is about seeking a meaningful connection with something bigger than yourself, which can result in positive emotions, such as peace, etc..........

Sasa Dini ni kama njia ya kutafuta hio 'Something Bigger' (Spirituality) Lakini kuna wababe ambao hawatumii Dini bali wanaenda directly na hawatumii dini. Na wengi wakifanikiwa tunaona walianza kuitwa miungu zama za zamani. Na kwa sababu hio ndio maana nikasema Huwezi ongelea dini bila spiritiality lkn unaweza ongelea spirituality bila dini. Kama sipo sahihi I stand to be corrected mkuu........, but with facts

Kitu ambacho wewe unakosea sana pia pamoja na watu wowote waloshika dini ni kwamba wanachukulia knowledge walonayo khs Spirituality ndio sahihi kuzidi za wengine na hio ndio chanzo cha kukomaza udini na dharau kwenye jamii. Na Lengo la kuleta huu uzi ilikua ni kutoa hio wrong mindset. Kitu kingine unachokosea ni kwamba unafanya Generalization sana ya mambo, nmeshasema huwezi kumtajia muisam Roho Mtakatifu akakuelewa, lkn kwao wanae ila kwa jina jingine. So Tumia General Term na ndo maana hapa mm natumia Nguvu Kuu ambayo ndio inaendesha kila kitu na ndio chanzo cha kila kitu.

Nikirudi kwenye kuchambua hoja yako nloiquote hapo juu ni kwamba Umetumia neno la dharau kidogo hapo 'Lack of Proper Knowledge', Je una uhakika knowledge yako khs Spirituality iko sawa? Mtu wa kukurupuka atajibu 'Yes' au 'No' lkn mtu ambae kafikia level fln ya kuweza kujiweka karibu yy mwenyewe na hio Nguvu bila kupitia watu au njia nyngne atakujibu kwamba 'Hana jibu la hilo swali na hilo swali halina umuhimu kwake'.

Kwa nini atakujibu hivo kwa sababu kuna wachungaji hawawezi kumletea mtu Nguvu itakayompa mali au mvuto lkn kuna waganga wanaweza hicho kitu na bila masharti magumu sana kutokana na nature ya mtu. Kuna maombi atafanya muislamu yakafanikiwa lkn mkristu akafanya yasifanikiwe, the reverse may also be true. Sasa kwa nini uiite hio lack of proper knowledge eti kwa kuwa wewe ni mkristu bas unasema knowledge fln kwenye quran au bible sio sawa while kuna mwingine anatumia hiohio knowledge kudeliver results?

Ndo maana kwangu mm dini hazina nafasi, I'm proud with my religion kwa sababu ni culture na inanipa identification kwenye jamii pia lkn as long as spirituality is concerned I cannot be biased by it coz tayari najua kiasi fln undani wa mambo na inatosha kujiongoza mwenyewe. Mtu akifikia level niliopo hata akisikia mchungaji/mapadre wake wamefanya vitu viovu hatoathiriwa sana kimtazamo kwa sababu ukishafikia level hio unakua umejua kwamba duniani kuna principles chache tu za kufuata, ukizifuata thn hizi dini zitabaki kuwa kama culture tu lkn hazina ulazima kukufanya kuwa mtumwa wake.

Note ukiendelea kuelezea kila kitu hapa kwa kutumia Roho Mtakatifu basi utakua unazidi kupotosha lengo la uzi, with all due respect let's stick to the general terms. Narudia tena Dini zote zinapoint kitu kimoja lkn kutofahamu hilo ndipo kumeleta vita, mauji, jihads etc.... na fujo zisizo na maana
Haya mambo huwezi ukayajadili kwa kutumia standard mbili zilizo na base kwenye imani / source tofauti. Ukianza kujadili dini kwa kutumia tuseme Biblia na Kurani, lazima mtakosea tu. Tuishie hapa tukiendelea zaidi lazima tutafanya makosa!

Empirical Science na Sprituality haviwezi kuwa discused kwa kutumia Biblia, au kwa kutumia Phsical observation, experimental methods. Discussions za namna hii zina limitations zake ambazo haziwezi kuwa resolved kwa urahisi sana na kwa kiwango kikubwa zinaonyesha possibly limitations zake haziwezi kabisa kuwa resolved

Si kila dini ina connect to THE RIGHT HIGHER POWERS. Mimi nachukulia SPRITUALITY kama njia ya kuji-coonect na THE RIGHT HIGHER POWERS, na si vinginevyo
Hyo nguvu uanayoiita wewe HIGHER POWERS mimi naijua kuwa ni RM ila wewe huji kama ni RM na hivyo wewe nawe uko sahihi pia;

Na hizo POWER zingine BELOW THE RIGH HIGHER POWEERS, ni manifestations tu ya DEVIL in its highest form. Shetani ana uwezo wa kufanya mambo mengi muno ya ajabu isipokuwa vitu viwili; KUUMBA NA KUFUFUA. Hivi vingine vilivyobaki almost anaweza kufanya. Kingine cha pekee ambacho hawezi kufanya, ni KUKAA NDANI YA MWAMINI ALIYE NDANI YA YESU. Hayupo mtu ambaye yuko ndani ya YESU ambaye yuko under posseession of the devil. A

Haya yote ninayoyasema hapa, wewe una uelewa tofauti na UKO SAHIHI 100% na mimi vile vile pia niko sahihi 100%. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu tunajadili jambo moja kwa kutumia STANDAD MBILI TOFAUTI, wewe una ya kwako na mimi pia ya kwangu. Kwa hali hii tunatengeneza UNNECESSARY DISCREPANCY ambayo NO ONE CAN RESOLVE.

KAWAIDA NI KWAMBA WATU WAWILI AU ZAIDI HAWAWEZI KUANZA KUJADILI KITU KIMOJA AMBACHO UELEWA WAO NI TOFAUTI KWA NIA YA KUKI-RESOLVE HUKU KILA MMOJA AKIWA ANATUMIA PRINCIPLES AMBAZO NI TOFAUTI NA ZA MWENZAKE, NA KATIKA NAMNA AMBAYO KILA MMOJA ANAAMINI KUWA PRINCIPLES ZA MWENZAKE HAZIKO SAHIHI. MKIFANYA HIVYO, UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA MNAKUWA MNAJARIBU KUTENGENEZA TATIZO JINGINE KUBWA ZAIDI KULZIDI LILE AMBALO LIMEKUWEPO SIKU ZOTE, NA PASIPO NYINYI WENYEWE KUJUA HILO
 
Back
Top Bottom