Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

Huu uzi ni mkali ila niseme tuu ule uzi wa Alen au zakaria mansour ni the best of all the time
 
Nimesom Riwaya nyng hap JF lkn GEREZA LA HAZWA bro..!!! [emoji119][emoji119]
Nikiri kwamba ile simulizi niliandika kwa hasira sana.

Naivutia Kasi siku nivurugwe nianze kuichora CHAPTER 2 yake.
 
Bro, Kwanza heshima yako kaka mkubwa!!? Kweny Life langu sijawahi kuona mtu anaweza kusimulia mapigano makali na yanayoeleweka Kama wew kaka!! We kweny Hilo ni Legend kaka! Then bro GEREZA la HAZWA ndo story ambayo nimekutana na watu wa kutisha sana duuh... Nimesoma story zako nying sana!! Bravo bravo
 
I'm speechless. Asante sana kwa appreciation mkuu, support yenu ni mhimu sana tuweze kulipeleka mbali hili gurudumu πŸ‘

Nadhani kuna haja ya kuileta GEREZA LA HAZWA CHAPTER 2 haraka kwani mpaka sasa inaonekana kuwa ndiyo favorite yenu.

#Maandishiyanaishi πŸ™
 
Pongezi nyingi kwako mwamba, hii simulizi nimeikubali sana maana iko very straight
 
Kesho tunaianza wikiendi hivyo nitaleta episodes 5 za simulizi hii ili mkomae nazo.

Lakini kesho hiyo hiyo tunaianza simulizi mpya ambayo inaitwa BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

Naomba support yako kubwa ya likes, comments pamoja na support ya kununua ikikupendeza ili tuendeleze gurudumu hili pamoja.

See you tomorrow [emoji872]

CIAO
 
Naam, pamoja sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…