Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Heaven,

Asante sana kwa kushea nasi experience hii nzuri na adhimu. Sikujua kumbe una kipaji cha kusimulia (story telling) kwa umahiri wa hali ya juu namna hii!

Kwa bahati nzuri/mbaya nimeupitia uzi huu usiku wa manane. Pakikucha nitakutafuta simuni.

Kudos!
 
Asante sana masimulizi yenye hamasa na ya kizalendo, angalau umefika kileleni, na unaweza kueleza vema vilele vya aina zote ulivyowahi kufika bila kusimuliwa. Nimehamasika na nitaupanda huu mlima kwa heshima ya uzi huu. Nimesikitishwa tu na ukweli kuwa wapandaji wengi ni wageni.
 
Sawa mkuu.
Watu wanaosumbuliwa na mafua mara kwa mara wakipanda hali ya hewa inayobadilika haitawasumbua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi kwetu ni chini ya huo mlima. ni kibosho na cjawah kuupanda ila nikijaaliwa nitakuja kuupanda
 
Tumezoea kupanda mara nyingi lakini hata sisi mara ya mwanza inakuwaga hell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile ziwa naskia kuna sehemu kwa upande wa Tanzania lilihama kabisa likahamia pale lilipo sijui ni kweli au ni maneno ya watu
Yaani lile ni downwarped lake...mwanzoni palikua na mlima na juu ya mlima alikua anaishi mzee mmoja anaitwa mzee chala. Baadae mlima ukadissapear ndo likatokea hilo ziwa. Na wanadai chanzo cha maji yake ni mt. Kilimanjaro. Pia ziwa liko mpakani mwa kenya na tz. So tunashare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…