Kwa mimi nafikiria kuja kupanda tena miaka ya mbeleni uko ila bado sijapanga nitaenda lini ila kwa ushauri mdogo tu kwa wanaotaka kupanda mlima kilimanjaro hauhitaji mazoezi sana ili ufike kileleni labda uwe mtu wa kushinda kwenye gari kutembea huna kumbukumbu ulitembea lini hata nusu saa kwa siku hapo fanya mazoezi mepesi tu kinacho washinda watu wengi kufika kileleni ni kwa sababu mlima kilimanjaro unajitengenezea hali yake una zaidi ya hali3 utakazo kutana nazo equatorial,Savannah, mediteranian nk so unakuta mtu mwili wake unashindwa kuhimili hali hii nyingine anaweza ukiwa kwenye Savannah unaweza hata huumwi kichwa ila ukienda sehemu nyingine hali inabadirika unaanza kuumwa na kunakua na mgandamizo wa hewa so kunakushinda
Cha kufanya pima afya yako vaa na beba mavazi na vifaa rafki tokana na ushahuri wa watu wanaokuongoza naamini unaweza toboa maana kule wanaenda wanajeshi ila kunawashinda sababu ya hali ya hewa ila ma porters na tour guiders muda mwingine unakuta wamevaa t-shirts na suruali tu na they're fine ila wewe unavaa mikoti na mikoti ila bdo hali inakusumbua tu
Mimi pia nilipita njia nzuri ya marangu na baridi lipo kuanzia mandara me siku ya kwnza tu betri ya simu ilikata moto wakt sikuitumia hata
All the best kwa mwendaji yeyote mwaka huu
Sent using
Jamii Forums mobile app