Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro


Hongera sana aisee!

Kabla sijafa lazima nipande Kilimanjaro!

Kumbe wewe ndio huyo dada mwenye nguo nyeusi alietupa mgongo?
 
Wewe umewahi kupanda???

Hao Wanaweza kuwa inspired kupanda. Mimi aliyenihamasisha sana kupanda ni member wa huku anaitwa kiwatengu so you never know


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mlipita njiani laini sana....marangu! Hongera kwa kukuza jiografia yako.......
Mie nilishapanda kwa kupitia njia machame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha,umenichekesha unaposema nilipoona kibao cha HOROMBO ukadhani umefika .
Njia ya marangu hali yake ya hewa sio nzuri,pole kwa kushindwa kupumua.
 
Huko ndo theory ya survival for fittest inaishi.
Mlima hauna mwenyewe.
 
Na kamwili kako kalivyo simple wala hupati shida sana kufika kileleni, ila ungekua na lichura likubwa kama miss natafuta sidhani kama ungeweza kufika kwenye kilele cha kibo kwa urahisi.

Maendeleo hayana chama
Mlimani hakunag cha mwili,kizuri nature ikuselect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…