Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

Tutaelewana tu kidogo kidogo - Dr. shika
 


Kwa upande wa U Rais, wanawake hapana, sikubaliani kabisa.
 
Umesahau kuweka namba ya simu chifu [emoji15]
 
Oli kifela
 
Cdm tulisha sema kuwa chini ya utawala wa ccm itafika muda watanzania wote turazungumza lugha moja kwa ccm haitufai.
Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuipa kura CHADEMA. Ni mwendawazimu na kichaa pekee anayeweza waunga mkono chadema.ccm ndio Tumaini la watanzania,ndio chaguo lako,ndio chama kilicho katika mioyo yao ,ndio chama ambacho kimepewa ridhaa katika nafsi na mioyo ya watanzania.ndio maana kina Endelea kuaminika na kuaminiwa na wananchi.ndio maana kinaendelea kuungwa mkono,ndio maana kinaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania na ndio maana kinaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania.

Hii ni kutokana na sera na ajenda zake kugusa maisha ya watanzania,sera zenye kuleta matumaini na furaha katika maisha ya watu,kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watanzania na kuwainua watu kiuchumi.
 
Umeme wa mafungu, waliowekeza kwenye nishati ya umeme wanaumia sana, kila siku wanaambiwa wakayatizame, kiongozi gani kila kitu anawaambia wakatizame?
 
Tumaini la watanzania kwa miaka 60+ hakuna huduma hata moja mmefanikiwa hata kwa 40%? Hilo sio tumaini, ccm na vibaraka wake ni laana kwa nchi.

Tumaini
 
Sukuma gang bwana mna stress sana,lini alikuomba umuunge mkono? Samia yupo Hadi 2030.

Mbona hutaji huo Mkoa wenye petrol station Moja tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…