Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Wanasiasa wanakutumia tu mdogo wangu alafu connections zote wanawapa watoto wao. Nilikuwa kama wewe zamani nikajiona mzalendo bila kujua kama hii nchi ina wenyewe.Weka yako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wanakutumia tu mdogo wangu alafu connections zote wanawapa watoto wao. Nilikuwa kama wewe zamani nikajiona mzalendo bila kujua kama hii nchi ina wenyewe.Weka yako mkuu
Mtu muovu siyo rahisi kumng'amua kwa macho ya Kisiasa bali kwa macho ya Rohoni!Anaelewa kama ni waovu au ?! ....
ChoiceVariable FaizaFoxy Mohamed Said chawa wa mama Lucas mwashambwa paschal Mayala njoeni huku machadema na Muslim phobes Yana mpinga mamaNimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake.
Mafuta ya petrol na Diesel imekuwa mateso sasa Tanzania. Yaani Rais kashindwa simamia issue ndogo ya Mafuta tunapaki magari, na vyombo vya usafiri, mkoa mzima kuna Petrol station moja tu kwa takribani wiki na hakuna kauli iliotoka? Kwa hakika Mama nchi amepelea.
Nami naunga sasa mkono tutafute mwanaume tena aongoze nchi. Wanawake wameshafeli
Zile kauli za "Ninaomba mkalitazame na hili", nahisi ndio zimetufikisha hapa, mikoani huku petrol na Diesel hakuna. Vituo vya mafuta vimefungwa.
Hii ilitokea mwezi uliopita tukadhani ni bahati mbaya, imetokea na mwezi huu, tafsiri ni kuwa kila mwezi itatulazimu watu wa mikoni kupaki gari zetu kwa wiki moja au zaidi kukiwa hakuna mafuta, lakini pia tukitumia muda kupanga foleni masaa hadi kumi kupata mafuta kwenye station chache mathalani moja inauokuwa imebaki na akiba, na Serikali ipo.
Hivi sio hawa walituaminisha Serikali inatumia na kuagiza mafuta ya miezi mitatu nyuma? Leo wanaficha mafuta kusubiri bei zipande Raia tunaumia. Gari kutoka dar kufika bukoba, musoma, sumbawanga, songea tangu bei kupanda ni siku 3
Rais yupo na hatoi kauli, akitoa anasema naomba na hili mkalitazame...aisee..
Its a time, I'm no longer backing President Samia for Second term of Presidency. Tukomae tu na wanaime hata akiwa badhirifu kuna kuda anatoa Sauti ya Mamulaka
Wenzako wanapewa teuzi, wewe upo tu unakesha mitandao. Hii nchi kama baba/mama yako hana cheo ndani ya chama, sahau kuhusu kutoboa.Wivu tu
Kwahiyo yeye siyo mwovu?Rais amezungukwa na Watu waovu kupitiliza, Tumuombee!
Rais Samia amekidhi matarajio ya wananchi ndio maana Anaendelea kuaminiwa na kuaminika kwa watanzania,ndio maana Taifa linaendelea kutamalaki kwa utulivu na amani.hiyo ni kazi ya Rais samia,ni mikono ya Rais samia,ni juhudi za Rais samia ndio zimetufanya kufika hapa tulipo kimaendeleo,mahali tunapopigiwa mifano na kupongezwa na Taasisi kubwa za kimataifa kama WB na IMF juu ya ukuaji wa uchumi wetu. Mahali ambapo sasa demokrasia yetu imechanua vyema na kuheshimika kimataifa,ni samia mama yetu aliyeliheshimisha Taifa letu kimataifa.Kwa upande wa U Rais, wanawake hapana, sikubaliani kabisa.
Ninaomba unisamehe sana ndugu yangu, nilikuwa nina reply kwa mwingine ila bahati mbaya ikaja kwako.Umeongea kama unanifahamu
Hapana yeye ni mtu mwema tu!Kwahiyo yeye siyo mwovu?
Umechelewa sana kuni mention.ChoiceVariable FaizaFoxy Mohamed Said chawa wa mama Lucas mwashambwa paschal Mayala njoeni huku machadema na Muslim phobes Yana mpinga mama
Moja ya kauli ya kidwanzi sana“hili nalo mkalitizame” ni kauli moja isiyo na mantiki kabisa. Haina mamlaka, haitoei maelekezo yoyote ya msingi. Sasa wakishalitazama halafu? Moja ya vitu vilivyochangia kutufikisha hapa.
Nakuona unatumia akili ya mbuni akiona hatari anaficha kichwa kwenye mchanga anadhani atakuwa salama hatari itapita tu.Wewe ondoka zako kapambane huko maana mamilioni ya watanzania wanaendelea na tunaendelea kuwa pamoja na kumuunga mkono mh Rais.kila mtu anatambua juhudi za mh Rais katika kila Eneo katika kutatua changamoto mbalimbali.sisi watanzania hatuzalishi mafuta na wala hatuna visima vya mafuta hapa nchini.sisi kama zilivyo nchi zingine nyingi tunaagiza mafuta kutoka nje ya nchi,hivyo katika uagizaji lazima ujuwe changamoto huwa hazikosekani hata kidogo.bkuna kuchelewa kufika kwa mafuta nchini kutokana na sababu mbalimbali hasa maeneo ambako yanatoka mpaka kufika hapa nchini.
Rais wetu na serikali yetu siyo wajinga kwamba waache watanzania wahangaike mitaani wakati mafuta yapo nchini. Hiyo haiwezekani na haiwezi kutokea katika serikali ya Rais samia. Wewe huna lolote zaidi ya ubabaishaji tu na kutokuwa na msimamo,wewe ni mnafiki tu na mshamba tu.
Nenda huko kwa hao uliokuwa ukiwaunga mkono na bado utashuhudia mh Rais wetu Dr Samia akipita na kushinda kwa kishindo kikuu uchaguzi ujao.hakuna Mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura.Hakuna wa kumkwamisha katika uchaguzi ujao .Rais samia ndiye chaguo la watanzania,ndiye kiu ya watanzania ,ndiye aliyepita katika mioyo ya watanzania na ndiye aliyepata kibali mbele za Mungu na watanzania wote kwa mamilioni.
Ni kichaa na mwendawazimu pekee anayeweza kutomuunga mkono mh Rais.watanzania wenye akili Timamu wapo upande wa Rais samia na wanaendelea kumuunga mkono,kwa kuwa wanatambua juhudi za Rais samia.wameona hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga kama Taifa na mafanikio makubwa tuliyoyapata chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti ulioleta matumaini kwa watanzania.ChoiceVariable FaizaFoxy Mohamed Said chawa wa mama Lucas mwashambwa paschal Mayala njoeni huku machadema na Muslim phobes Yana mpinga mama
Hivi ikatokea labda akawa RIP ikajitokeza chance ya kumsindikiza kaburini je unaweza kujitolea kukaa nae kwa grave?Maana unasema utakuwa naye hadi mwisho.Nitaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa siku zote.Nitakuwa upande wake,nitasimama naye popote alipo na kumtetea popote niwapo, nitasema kwa nguvu zangu zote mazuri yote anayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.kila mtu anatambua dhamira njema aliyonayo mh Rais katika Taifa letu. Sote tumeona kazi kubwa aliyoifanya katika secta ya Elimu, Afya, miundombinu,kilimo n.k. Tumeona shule zilijengwa kila eneo,tumeona vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vikijengwa,tumeona Elimu ikitolewa bure hadi kidato cha sita,tumeona vituo vya afya vikijengwa kila kona ya Taifa letu.Tumeona leo hii miradi mbalimbali ya maendeleo ikichipua kila sehemu .kwa hakika nitaendelea kuwa pamoja na Rais samia na serikali yake mpaka mwisho.
Muulize TumainiEl ,enzi za JPM mpaka alimtishia kumuua Beni Saanane,ila Leo anasugua takoNi kichaa na mwendawazimu pekee anayeweza kutomuunga mkono mh Rais.watanzania wenye akili Timamu wapo upande wa Rais samia na wanaendelea kumuunga mkono,kwa kuwa wanatambua juhudi za Rais samia.wameona hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga kama Taifa na mafanikio makubwa tuliyoyapata chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti ulioleta matumaini kwa watanzania.