yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Hatuna Raisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka 2021 Hadi Sasa ni miaka mingapi? Ni 3 Sasa hiyo mingine unayonipa labda unipe hadi 2030.Hata JPM alikuwa na akina Kafulila waliosifia figures kama wewe,nakupa miaka mitatu tu
Mwana ccm mwenzangu vp?, wewe unaweza kuwa mkatoliki kuliko papa?!, haya yoote yanayofanyika kwenye nchi yetu hayakugusi wewe!?, hata kama huna gari,je wewe husafiri ukaona hata kupanda kwa nauri?!,. Daah ifikie kipindi tuacha unafiki,tujifunze kusema ukweli ili kuinusulu ccm na anguko kubwa linalokuja.kifupi ni kuwa mama samia hana uwezo wa kiuongozi au kiutawala,ccm tuna hazina kubwa ya watu wenye uwezo wa kuongoza nchi hii na mambo yakaenda.Nitaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa siku zote.Nitakuwa upande wake,nitasimama naye popote alipo na kumtetea popote niwapo, nitasema kwa nguvu zangu zote mazuri yote anayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.kila mtu anatambua dhamira njema aliyonayo mh Rais katika Taifa letu. Sote tumeona kazi kubwa aliyoifanya katika secta ya Elimu, Afya, miundombinu,kilimo n.k. Tumeona shule zilijengwa kila eneo,tumeona vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vikijengwa,tumeona Elimu ikitolewa bure hadi kidato cha sita,tumeona vituo vya afya vikijengwa kila kona ya Taifa letu.Tumeona leo hii miradi mbalimbali ya maendeleo ikichipua kila sehemu .kwa hakika nitaendelea kuwa pamoja na Rais samia na serikali yake mpaka mwisho.
Hata Mimi sikumpa kura yangu alikuja kwa sababu ya mazingira aliyotengenezewa.Mimi Samia sio Rais wangu
Kwani umeambiwa kuwa sisi tunazalisha mafuta hapa nchini? Umeambiwa kuwa serikali imeficha mafuta? Kwani wewe huoni kazi kubwa inayofanywa na serikali yetu?Mwana ccm mwenzangu vp?, wewe unaweza kuwa mkatoliki kuliko papa?!, haya yoote yanayofanyika kwenye nchi yetu hayakugusi wewe!?, hata kama huna gari,je wewe husafiri ukaona hata kupanda kwa nauri?!,. Daah ifikie kipindi tuacha unafiki,tujifunze kusema ukweli ili kuinusulu ccm na anguko kubwa linalokuja.kifupi ni kuwa mama samia hana uwezo wa kiuongozi au kiutawala,ccm tuna hazina kubwa ya watu wenye uwezo wa kuongoza nchi hii na mambo yakaenda.
Zimefika , karibu sanaWasalimie hapo Mpemba
Katiba hii mkuu ndio changamoto, ilitakiwa aongoze kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mwingine baada ya kifo cha Rais.Hata Mimi sikumpa kura yangu alikuja kwa sababu ya mazingira aliyotengenezewa.
Urais hupangwa na Mungu!, ni Samia ndiye amepangiwa na YEYE kuendelea, then ni Samia!, umuunge mkono, usimuunge, upige kura usipige, rais wa 2025 ni Samia but only if Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake.
Mafuta ya petrol na Diesel imekuwa mateso sasa Tanzania. Yaani Rais kashindwa simamia issue ndogo ya Mafuta tunapaki magari, na vyombo vya usafiri, mkoa mzima kuna Petrol station moja tu kwa takribani wiki na hakuna kauli iliotoka? Kwa hakika Mama nchi amepelea.
Nami naunga sasa mkono tutafute mwanaume tena aongoze nchi. Wanawake wameshafeli
Zile kauli za "Ninaomba mkalitazame na hili", nahisi ndio zimetufikisha hapa, mikoani huku petrol na Diesel hakuna. Vituo vya mafuta vimefungwa.
Hii ilitokea mwezi uliopita tukadhani ni bahati mbaya, imetokea na mwezi huu, tafsiri ni kuwa kila mwezi itatulazimu watu wa mikoni kupaki gari zetu kwa wiki moja au zaidi kukiwa hakuna mafuta, lakini pia tukitumia muda kupanga foleni masaa hadi kumi kupata mafuta kwenye station chache mathalani moja inauokuwa imebaki na akiba, na Serikali ipo.
Hivi sio hawa walituaminisha Serikali inatumia na kuagiza mafuta ya miezi mitatu nyuma? Leo wanaficha mafuta kusubiri bei zipande Raia tunaumia. Gari kutoka dar kufika bukoba, musoma, sumbawanga, songea tangu bei kupanda ni siku 3
Rais yupo na hatoi kauli, akitoa anasema naomba na hili mkalitazame...aisee..
Its a time, I'm no longer backing President Samia for Second term of Presidency. Tukomae tu na wanaime hata akiwa badhirifu kuna kuda anatoa Sauti ya Mamulaka
Sawa,tusubirie tuoneToka 2021 Hadi Sasa ni miaka mingapi? Ni 3 Sasa hiyo mingine unayonipa labda unipe hadi 2030.
Mwisho Kafulila alikuwa anatoa data gani?
hata hao wapinzani wakipata nchi watapewa watu wao vyeo.Wanasiasa wanakutumia tu mdogo wangu alafu connections zote wanawapa watoto wao. Nilikuwa kama wewe zamani nikajiona mzalendo bila kujua kama hii nchi ina wenyewe.
Utasubiria sana brooSawa,tusubirie tuone
Mama Yuko kazini 🔥🔥Ahaaaaa
Mwisho ndio huu hakuna mwisho mwingineNitaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa siku zote.Nitakuwa upande wake,nitasimama naye popote alipo na kumtetea popote niwapo, nitasema kwa nguvu zangu zote mazuri yote anayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.kila mtu anatambua dhamira njema aliyonayo mh Rais katika Taifa letu. Sote tumeona kazi kubwa aliyoifanya katika secta ya Elimu, Afya, miundombinu,kilimo n.k. Tumeona shule zilijengwa kila eneo,tumeona vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vikijengwa,tumeona Elimu ikitolewa bure hadi kidato cha sita,tumeona vituo vya afya vikijengwa kila kona ya Taifa letu.Tumeona leo hii miradi mbalimbali ya maendeleo ikichipua kila sehemu .kwa hakika nitaendelea kuwa pamoja na Rais samia na serikali yake mpaka mwisho.
Ccm hatuitaji kura haramu za mashogaNimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake.
Mafuta ya petrol na Diesel imekuwa mateso sasa Tanzania. Yaani Rais kashindwa simamia issue ndogo ya Mafuta tunapaki magari, na vyombo vya usafiri, mkoa mzima kuna Petrol station moja tu kwa takribani wiki na hakuna kauli iliotoka? Kwa hakika Mama nchi amepelea.
Nami naunga sasa mkono tutafute mwanaume tena aongoze nchi. Wanawake wameshafeli
Zile kauli za "Ninaomba mkalitazame na hili", nahisi ndio zimetufikisha hapa, mikoani huku petrol na Diesel hakuna. Vituo vya mafuta vimefungwa.
Hii ilitokea mwezi uliopita tukadhani ni bahati mbaya, imetokea na mwezi huu, tafsiri ni kuwa kila mwezi itatulazimu watu wa mikoni kupaki gari zetu kwa wiki moja au zaidi kukiwa hakuna mafuta, lakini pia tukitumia muda kupanga foleni masaa hadi kumi kupata mafuta kwenye station chache mathalani moja inauokuwa imebaki na akiba, na Serikali ipo.
Hivi sio hawa walituaminisha Serikali inatumia na kuagiza mafuta ya miezi mitatu nyuma? Leo wanaficha mafuta kusubiri bei zipande Raia tunaumia. Gari kutoka dar kufika bukoba, musoma, sumbawanga, songea tangu bei kupanda ni siku 3
Rais yupo na hatoi kauli, akitoa anasema naomba na hili mkalitazame...aisee..
Its a time, I'm no longer backing President Samia for Second term of Presidency. Tukomae tu na wanaime hata akiwa badhirifu kuna kuda anatoa Sauti ya Mamulaka
Fanya kazi acha kulialia bintiMwanamke hajawahi kuwa serious na maisha hata siku moja