desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
We choko mi sitembezi rungu kwa machokoFanya kazi acha kulialia binti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We choko mi sitembezi rungu kwa machokoFanya kazi acha kulialia binti
We ukiwaunga mkono mapunga wenzio kina slaa inatoshaHata wewe unaona aibu tu, unatuvizia tukisahau nawe useme umejitoa, huyo bibi anayemuunga mkono ni zezeta tu.
Aise. Wewe jamaa sijui kwann teuzi zote zinakupita maana siyo kwa uchawa huo. Halafu unatudhalilisha wanaume.Nitaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa siku zote.Nitakuwa upande wake,nitasimama naye popote alipo na kumtetea popote niwapo, nitasema kwa nguvu zangu zote mazuri yote anayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.kila mtu anatambua dhamira njema aliyonayo mh Rais katika Taifa letu. Sote tumeona kazi kubwa aliyoifanya katika secta ya Elimu, Afya, miundombinu,kilimo n.k. Tumeona shule zilijengwa kila eneo,tumeona vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vikijengwa,tumeona Elimu ikitolewa bure hadi kidato cha sita,tumeona vituo vya afya vikijengwa kila kona ya Taifa letu.Tumeona leo hii miradi mbalimbali ya maendeleo ikichipua kila sehemu .kwa hakika nitaendelea kuwa pamoja na Rais samia na serikali yake mpaka mwisho.
Wenzio tunapiga kazi awamu hii maisha simpleee sio kama enzi za dikteta muuajiWe choko mi sitembezi rungu kwa machoko
Unajuaje kama ajapata teuziAise. Wewe jamaa sijui kwann teuzi zote zinakupita maana siyo kwa uchawa huo. Halafu unatudhalilisha wanaume.
Jf ni kama indicator moja wapo ya watawala kujua wanakubalika au hawakubaliki mbele ya watanzania mill 60Tatizo wana JF Hamfiki ata robo ya idadi ya wananchi... Kumnyima mama kura hakusaidii... Dua ndio mkombozi pekee...
Mimi sitafuti uteuzi hapaAise. Wewe jamaa sijui kwann teuzi zote zinakupita maana siyo kwa uchawa huo. Halafu unatudhalilisha wanaume.
Wakalitizame waoHili la lugha Moja nalo mkalitazame
Hivi wewe bado upo huko?Good morning Denoo[emoji23][emoji23]
Sema tu hana uwezo wa kusimamia .acha kumsugarcoatMimi binafsi sina rafiki na adui wa kudumu rais Samia watendaji wake wanamuangusha sana uenda ni makusudi hili 2025 wambandue awe making Hali ikiendelea hivi watu wataonesha kukukubali kwa maandishi tu lakini mioyoni mwao ni kinyume kabisa. Chukua dkt mshenga nafikili yupo kwenye kitengo Cha uvuvi Zanzibar mpatie kitengo hapo unishatini autojutia jamaa jembe linajua kupiga kazi
Kwani wewe unadhani CCM wanategemea sanduku la kura? Sanduku lao la kura ni TISS na Polisi, wewe upige, usipige, mammoja. CCMwanaamua nani awe nani, angalia walivyotengeneza bunge kibogoyo la Ndiyooooo, kwa kura za kupita bila kupingwa. Tubadilishe kwanza mfumo wa upatikanaji wa Rais na viongozi wengine kwa kubadili katiba mbovu iliyopo na kuleta mpya.Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake.
Mafuta ya petrol na Diesel imekuwa mateso sasa Tanzania. Yaani Rais kashindwa simamia issue ndogo ya Mafuta tunapaki magari, na vyombo vya usafiri, mkoa mzima kuna Petrol station moja tu kwa takribani wiki na hakuna kauli iliotoka? Kwa hakika Mama nchi amepelea.
Nami naunga sasa mkono tutafute mwanaume tena aongoze nchi. Wanawake wameshafeli
Zile kauli za "Ninaomba mkalitazame na hili", nahisi ndio zimetufikisha hapa, mikoani huku petrol na Diesel hakuna. Vituo vya mafuta vimefungwa.
Hii ilitokea mwezi uliopita tukadhani ni bahati mbaya, imetokea na mwezi huu, tafsiri ni kuwa kila mwezi itatulazimu watu wa mikoni kupaki gari zetu kwa wiki moja au zaidi kukiwa hakuna mafuta, lakini pia tukitumia muda kupanga foleni masaa hadi kumi kupata mafuta kwenye station chache mathalani moja inauokuwa imebaki na akiba, na Serikali ipo.
Hivi sio hawa walituaminisha Serikali inatumia na kuagiza mafuta ya miezi mitatu nyuma? Leo wanaficha mafuta kusubiri bei zipande Raia tunaumia. Gari kutoka dar kufika bukoba, musoma, sumbawanga, songea tangu bei kupanda ni siku 3
Rais yupo na hatoi kauli, akitoa anasema naomba na hili mkalitazame...aisee..
Its a time, I'm no longer backing President Samia for Second term of Presidency. Tukomae tu na wanaime hata akiwa badhirifu kuna kuda anatoa Sauti ya Mamulaka
Mwite mwenzako The Boss na Lord denning ..Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake.
Mafuta ya petrol na Diesel imekuwa mateso sasa Tanzania. Yaani Rais kashindwa simamia issue ndogo ya Mafuta tunapaki magari, na vyombo vya usafiri, mkoa mzima kuna Petrol station moja tu kwa takribani wiki na hakuna kauli iliotoka? Kwa hakika Mama nchi amepelea.
Nami naunga sasa mkono tutafute mwanaume tena aongoze nchi. Wanawake wameshafeli
Zile kauli za "Ninaomba mkalitazame na hili", nahisi ndio zimetufikisha hapa, mikoani huku petrol na Diesel hakuna. Vituo vya mafuta vimefungwa.
Hii ilitokea mwezi uliopita tukadhani ni bahati mbaya, imetokea na mwezi huu, tafsiri ni kuwa kila mwezi itatulazimu watu wa mikoni kupaki gari zetu kwa wiki moja au zaidi kukiwa hakuna mafuta, lakini pia tukitumia muda kupanga foleni masaa hadi kumi kupata mafuta kwenye station chache mathalani moja inauokuwa imebaki na akiba, na Serikali ipo.
Hivi sio hawa walituaminisha Serikali inatumia na kuagiza mafuta ya miezi mitatu nyuma? Leo wanaficha mafuta kusubiri bei zipande Raia tunaumia. Gari kutoka dar kufika bukoba, musoma, sumbawanga, songea tangu bei kupanda ni siku 3
Rais yupo na hatoi kauli, akitoa anasema naomba na hili mkalitazame...aisee..
Its a time, I'm no longer backing President Samia for Second term of Presidency. Tukomae tu na wanaime hata akiwa badhirifu kuna kuda anatoa Sauti ya Mamulaka
Ni jambo lisilopingika kuwa watu wasio na ufahamu na wasiojitambua ndo watasimama kumuunga mkono mbunifu wa maumivu ya taifa.Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi